imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,406
useless, nonsense, null and void agenda š
useless, nonsense, null and void agenda š
HATA SISI WANANCHI TULIOJIANDIKISHA TULITAKA VITAMBULISHO TUU LKN HATUTAENDA KUPIGA KURA KUPOTEZA MUDANO REFORMS NO ELECTION
Kusema HQ kama inanuka hii kauli ipo kwa mtu binafsi sio ya Chama. Lakini chama kuja na msimamo na mmoja wao kusaliti huo msimamo huyu ana tatizo binafsi.lakini Chadema huwa wanasema kutoa maoni tofaut ni haki,
nadhani hata Lisu aliwahi kusema Chadema HQ inanuka rushwa na ikaonekana ni uhuru wa kutoa maoni,
kulikoni mtu kusema no reform no elections ni useless, nonsense, null and void agenda kulingana na maoni na mtazamo wake iwe ni usaliti leo?š
huyo muungwana,
ni miongoni mwa wanachadema waandamizi wenye ushawishi mkubwa zaidi ndani ya Chadema aliefanikisha no reform no elections kupuuzwa kabisa miongoni mwa wanachadema hususan watangaza nia za kugombea urais,ubunge na udiwani.
Infact ,
ndie aliemlazimisha hata Lisu kutangazwa kua miongoni mwa wanachadema waandamizi waliotangaza nia za kugombea urais Uchaguzi mkuu wa October,
na kuifanya useless no reform no elections kua completely nonsense, null and void kuanzia sasa kuelekea Uchaguzi mkuu š
Gabriel Mwita haogopi uchaguzi.CHADEMA ili mpate dola lazima mshiriki uchaguzi na kuchaguliwa.Ni chama mfu tu kinachoogopa uchaguzi kwa visingizio vya kitoto
waisome mamluki wote wote waliopo CDM nakazia hapa
Kama unataka kugombea ubunge na unaona una ushawishi wa kushinda , tafuta chama kinachokubalika hata CCM , NCCR kagombee, maana kugombea ni haki yako siyo lazima iwe CHADEMA
Kwenye vyama vya siasa kuna wasaliti/usalama wa kufanya au kutoa kauli zinazo kingana na chama chao. Hawa wasaliti wapo kila kona ya kazi na jumuiya ili kuleta kauli tata ya kuwa changanya watu wenye msimamo mmoja na kuwatoa kwenye huo msimamo.
Kwenye vyama vya siasa kuna wasaliti/usalama wa kufanya au kutoa kauli zinazo kingana na chama chao. Hawa wasaliti wapo kila kona ya kazi na jumuiya ili kuleta kauli tata ya kuwa changanya watu wenye msimamo mmoja na kuwatoa kwenye huo msimamo.