TANZIA Gabriel Kandonga afariki dunia kwa ajali ya gari

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
1,900
2,000
Acha kukariri usemi wa polisi, dereva mzembe ambaye anaendesha gari akiwa peke yake, abiria atatoka wapi?
Asilimia kubwa ya ajali ni madereva wa mabasi na magari binafsi yaliyobeba abiria , jaribu kufikiria sio kubishabisha vitu Vipo wazi kwa takwimu.
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
11,346
2,000
Asilimia kubwa ya ajali ni madereva wa mabasi na magari binafsi yaliyobeba abiria , jaribu kufikiria sio kubishabisha vitu Vipo wazi kwa takwimu.
Samahani macho yangu yanamakengeza, picha ya gari alilopata nalo ajali nimeliona ni dogo (saluni) na alikuwa peke yake, wewe mwenye macho mazuri umeliona ni basi, samahani.
 

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
15,361
2,000
Kwa ujumla, nidhamu ya watumishi wa umma, wakiwemo maafisa usalama, imeanza kulega lega tena. Miaka michache iliyopita nidhamu ilianza kukaa sawa.
Ni kweli Mkuu,kifo Cha jiwe kimeathiri Sana performance ya Watumishi, wameanza kurudi kule kule.
 

brethy

New Member
Mar 16, 2016
3
45
Ajali zilikuwepo wazee kama kawaida ila ilikua inazuiliwa kuripotiwa na si ajali pekee hata matukio mengine mengine. Ila hizi za kuwahusu wanahabari limekuwa jini jipya.
Nashangaa watu wanasema hazikuepo. Zilikuepo tele ila tatizo ile sheria ya vyombo vy habari na takwimu ndo zilikuwa zinawazuia kutoa taarifa za ajali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom