Gaboni kimenuka!

hivi kwani wanashindwa kumroga wakamtupia jini maimuna subiani wamalize mchezo katika kundi lote hilo hamna mjukuu wa mzee wa busara hata mmoja
 
Mbona unaleta mambo ya unabii hapa!!! Lete facts zinazokufanya uamini hayo unayoyaandika.
 
Mbona unaleta mambo ya unabii hapa!!! Lete facts zinazokufanya uamini hayo unayoyaandika.
Huo ni uhalisi siyo unabii!! Naongea kitu ninachokijua na kukifagamu kwa kina kabisa! Ni rahisi vita kutokea marekani na ulaya kuliko hapa. Hiyo ndiyo "facts" wala siyo uongo. Najua ninachoongea wala siyo unabii.
 
Hata alli bongo ondimba alisema hvyo hvyo
 
Hapo wezi wa kura wamezidiana tu utalaam
 
Hahaha...sawa!!!! Ngoja nisibishane na wewe... Maana hujui hata nilichoongea/nilichoandika kinamaanisha nini.
Sidhani kama kuna muda wa mabishano hapa but usiongee vitu vingi mpaka ukaonekana wa kawaida maana sisi binadamu tumefungwa kujua hata kesho yetu tu,sasa wewe unayajua mpaka ya kesho ya nchi???kuna nchi hata upinzani tu hamna lakini yamewakuta mazito sana miaka hii ya karibuni
 
Gabon election: Bongo v Ping
  • Mr Bongo took office in 2009 after an election marred by violence
  • He succeeding his father Omar Bongo who had come to power in 1967 and was Africa's longest serving leader
  • Veteran diplomat Mr Ping had served as chair of the African Union
  • He had been a close ally of Omar Bongo and had been his foreign minister
  • He had two children with Omar Bongo's daughter, Pascaline
 
ipo siku na sisi uvumilivu utatushinda

CDM KAENI CHONJO MTAKIONA CHA MTEMA KUNI OCTOBER MOSI
October mosi ni siku ya kupanda miti kitaifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Raha sana kuishi Tanzania
 
Naona unaongea kwa hisia sana ,unajiona Mungu,wakati urojo tu,unadhani kuna mtu anaombea hayo,hayo yanatokea sababu kuna wapuuzi kama wewe
 
Kama machafuko ndio UANAUME, njoo uchukue uume wangu...

Mimi nawashukuru CDM kuahirisha Maandamano yao hata kama sababu yao haina mashiko.

Tusipende kuvamia kila tunachokiona kwa jirani
 
Wewe unayetaka vurugu katika nchi yetu MWENYE ENZI MUNGU aanze na nyumbani kwako milele. ..na sisi tunaomba amani iwe kwetu na kizazi chetu na nchi yetu milele. ..EHH RHABUKA nakuomba usikie maombi haya. ..kumbuka watanzania wengi walivyo mwaga damu kipindi cha mwl Julius Kambarage Nyerere. ..kwa ajili ya Africa kuwa huru! Ehh MAULANA MOLA wetu sikia maombi yetu. ..Amen
 
Uko Gabon watu hawaogopi gwanda Kama sisi kipandee hiii hatujatishiwaa tumeskia tuu watu watafagia barabara na shughuli ikaishia hapoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…