Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Hawajasoma hata katiba ya chama😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Kaole Sanaa GroupKufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Uchu wa madaraka sasa mbona walikuwa wanakanusha kwenye vyombo vya habari?kumbe shida ni vyeo ni kugombea ubunge.si wangeng'atuka kimya kimya tu ile strong publicity ilikuwa ya nini?hovyooo.Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo Mohammed.
Nchi ina mambo ya hovyo sana...Hawajasoma hata katiba ya chama
Hapa msajili wa vyama amepata mahali pa kusawazisha boko lake.Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Bara amepewa Benson Kigaila na kwa upande wa Zanzibar Naibu Katibu Mkuu amepewa
Mohamed Masoud.
Mgawanyo huo wa umekuja baada ya waliokuwa viongozi wa Chaumma kujiuzulu nafasi zao akiwamo aliyekuwq Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na Makamu Mwenyekiti Bara, Kayungo
Mbona lowassa alipewa na tiketi yakugombea urais.Haujui😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka