G.P.A ya mbunge David Silinde

Mbona Udsm nako vilaza wako kibao? mbona ktk interview nyingi udsm wanapigwa sana na watu toka mzumbe, udom nk?
 
Ningekuona wa maana kama ungetuambia wewe umefanikiwa katika maisha zaidi kuliko yeye japo yeye ni mbunge ningekuelewa, lakini GPA! Wangapi wana GPA safi lakini wanatembea viatu upande kama wana matege kumbe kiatu kimechakaa upande upande kwa kukosa pesa ya kujipanga vema. Mwenzio na GPA hiyo unayoiona ndogo, yuko bungeni. Wewe tuambie uko wapi unapatia riziki yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kubishania ujinga .Hutakiwi kujivunia GPA il a jivunie uwezo ulionao kutumia elimu uliyonayo kuboresha maisha yako binafsi n'a Taifa Kwa ujumla.Huu upuuzi wa GPA ndo umelididimiza Taifa letu Kwa miaka mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alipata gentleman...... Jiulize ninkwa nini wananchi wamemuamini?? Mpaka wakampa jimbo??? Jibu ni kwamba unaweza ukawa unaufaulu mzuri sana lakini ukakosa maarifa
 

Akuletee ya BASHITE kwanza
 
Hiyo gentleman degree itakusaidia nini? Huyo magogoni alijipa PhD fake na Nchi imemshinda iko shagalabagala!
 
Mnaojadili ubora wa ELIMU kwa kuangalia UDSM kumbukeni wote unaowaona wanaliingiza hili taifa GIZANI asilimia kubwa ni graduates wa UDSM, JE NINI UMUHIMU WAKE?[/QUOTE]



Naona kuna watu hawajalijua hili
 
5.6
 
UDSM sio chuo hatari na mitihani sio migumu kama tunavyotishwa. Kinachofanya watu wapate GPA ndogo ni hawasomi kwa bidii na hofu waliyojengewa tangu mwanzo. Ukiwa serious na shule na positive mind zile supplementary utakuwa unazisikia kwa wengine. Haya mambo ya kutishana nilianza kutana nayo baada ya kuchaguliwa form five kusoma PCB ambapo siku moja nilikutana na jamaa mmoja aliekuwa kamaliza form six akaanza kunitisha kuniambia PCB ni ngumu mno ati hata yeye pamoja na kuchaguliwa CBG aliamua kubadilisha kwenda EGM! Mimi nilimpuuza nikaenda zangu shule bahati mbaya nikaugua mwaka mzima nikaja kupata nafuu mwishoni mwa form five nikaendelea na shule. Form six ndo nilipata mda wa kusoma kwani Mungu alinisaidia nikapona na mtihani wa taifa nikafanya na nikafaulu na chuo kikuu nikaenda. Mbona mambo ni ya kawaida tu!!! Mimi huwa sina kitu kinachoitwa haiwezekani au hiki ni kigumu.
 
asikubabaishe huyo uliyekuwa unabishana naye,kuna maprofessor waliokuwa na first class Hons ,lakini kichwani hamna kitu,hawawezi hata kujenga hoja!angalia olesendeka,ni zero form six lakini no mjinga hoja mzuri sana,achana na ma GPA hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…