G.P.A ya mbunge David Silinde

Mimi nilijua ni simple question naona limekua swali gumu
 
David Silinde status yake ni Mh Mbunge, huyo anaebisha yeye ni nani?! Kikubwa sana kwenye maisha ni maono, hekima na busara na ujasiri wa kuifuatilia ndoto yako na wala sio sifa za makaratasi; na mengine ya kutengeneza, au zawadi tu yasiyo na uhusiano na weledi wa utumishi wa mtu husika kama Dr, professa majimafupi etc etc. Kuwa na amani, usijibizane na wajinga, wenye akili hawatakuelewa!
 
Hawa watoto wa siku hizi wanashida gani jamani?
 
angekua na GPA kali asingekimbilia siasa mapema.
 
Duu mbwembwe nyingi kumbe ana pass...yaani bila shaka amehurumiwa tuu..halafu ni wazi alikuwa anapiga chabo huyu.
 
Sijaelewa vizuri jamani mnisaidie. Mh Silinde tuseme alichosoma pale kama Kambi rasmi ya upinzani ni pumba au nondo? Kile Mh alichotoa pale, hivi kweli ccm mtathubutu kukidharau??
Ushauri wangu; Badala ya kuuliza GPA na0na tujaribu tu kutafuta namna ya kurekebisha bajet hii ili iwasaidie wananchi sio kuwanyonya hata mate baada ya damu kuisha
 
Wacha mchezo na Bcom ya UDSM. Yani GPA ya Bcom UDSM ya 2.0 ina maana kubwa sana kuliko GPA ya 4.0 ya UDOM, MZUMBE, OPEN, IFM na vyuo vyote unavyovijua hapa nchin vinavyotoa kozi za biashara. Ndio maana digrii ya UDSM inaitwa Honorous. Vyuo vingine vinatoa ordinary degree.... Kwa hiyo mtu yeyoe ambaye amehitimu shahada ya Biashara UDSM ni 'kichwa by default'...
 
Team Gentleman utawajua tu...Tehe Tehe
 
Silinde kwa kumsikiliza tu anavyo ongeaga, na kupangilia hoja, lazima atakuwa na akili sana, vilaza wapo wakiongea tu unafahamu, wala hata huhitaji kujua CV, wala vyeti. Hata kama mbunge ni la saba bado anaweza kuwa ana akili sana, na utajua kupitia anavyowasilisha mambo yake, na mantiki ya hoja zake.
Tujifunze kutofautisha elimu za darasani na akili za watu.
 
JK alipata 2.1 na amewaongoza miaka 10
 
Siasa haina uhusiano na elimu ya darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…