Historia ya Lema alikuwa mwizi wa magari vurugu kwake ndiyo maisha yake.
Historia ya Lema alikuwa mwizi wa magari vurugu kwake ndiyo maisha yake.
Historia ya Lema alikuwa mwizi wa magari vurugu kwake ndiyo maisha yake.
kwani cha kushangiliwa ni kura tu...hujaliona hilo jimama lenye inye...wanashangilia nini wakati kura hazijahesabiwa?
kiboko yake Abdalah Zombe
Historia ya Lema alikuwa mwizi wa magari vurugu kwake ndiyo maisha yake.
Toka mitaa 6 hadi 75 mwanaCCM yeyote lazima amchukie.Katika kituo hicho cha Osterbay uchaguzi umerudiwa leo na muda huu kuna vurugu zinazofanywa na wafuasi wa cdm wakiongozwa na mbunge wao G. Lema na mbunge wa viti maalum ambapo mgombea kupitia ccm amejeruhiwa.
Bar iliyopo karibu ya Komela Shine imefungwa pamoja na maduka ya jirani kutokana na vurugu hizo. Kikosi cha polisi na kamanda wa polisi wa mkoa tayari wameshafika kutuliza ghasia.
oooh,aisee ipo kwenye CV yake?Ushawah peleka taarifa Polisi bidada mwa 4