G. Lema anaongoza vurugu muda huu katika kituo cha kupiga kura Osterbay Arusha

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Katika kituo hicho cha Osterbay uchaguzi umerudiwa leo na muda huu kuna vurugu zinazofanywa na wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na mbunge wao G. Lema na mbunge wa viti maalum ambapo mgombea kupitia CCM amejeruhiwa.

Bar iliyopo karibu ya Komela Shine imefungwa pamoja na maduka ya jirani kutokana na vurugu hizo. Kikosi cha polisi na kamanda wa polisi wa mkoa tayari wameshafika kutuliza ghasia.
 
Katika kituo hicho cha Osterbay uchaguzi umerudiwa leo na muda huu kuna vurugu zinazofanywa na wafuasi wa cdm wakiongozwa na mbunge wao G. Lema na mbunge wa viti maalum ambapo mgombea kupitia ccm amejeruhiwa.

Bar iliyopo karibu ya Komela Shine imefungwa pamoja na maduka ya jirani kutokana na vurugu hizo. Kikosi cha polisi na kamanda wa polisi wa mkoa tayari wameshafika kutuliza ghasia.
Toka mitaa 6 hadi 75 mwanaCCM yeyote lazima amchukie.
 
oooh,aisee ipo kwenye CV yake?Ushawah peleka taarifa Polisi bidada mwa 4

Lema anasifia cdm kupata mitaa 75, na hapo analazimisha waibe ndo maana amekusanya vibaka wake wakampiga mgombea wa ccm! Yeye kama mbunge pamoja na hicho kimada chake cha viti vya bure kafuata nn hapo wakati c mtaa wake kama siyo kuleta vurugu plus wizi?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom