G. Lema anaongoza vurugu muda huu katika kituo cha kupiga kura Osterbay Arusha

Ee bwana Msalani ulikuwa wapi muda wote?

Hii thread ulipaswa kuanzisha wewe bhana, natambua nafasi yako kama mbunge kivuli wa Arusha mjini...na mtani wa jadi wa Lema.

Mkuu.
Lema ana kiherehere sana. Hajui majukumu yake kama Mbunge. Sasa uchaguzi mdogo kama huu wa kumpata mwenyekiti wa mtaa. Kulikuwa na haja gani ya kufanya fujo zote hizi mpaka kumng'oa mtu meno?
 
Lema anasifia cdm kupata mitaa 75, na hapo analazimisha waibe ndo maana amekusanya vibaka wake wakampiga mgombea wa ccm! Yeye kama mbunge pamoja na hicho kimada chake cha viti vya bure kafuata nn hapo wakati c mtaa wake kama siyo kuleta vurugu plus wizi?

Acha Kujitekenya tulia ufumuliwe!
 
Nimepita hapo muda si mrefu. Hali hapo sio shwari. Lema amekusanya vijana kutoka ungalimited. Ili wafanye fujo kwenye kituo hicho.

Upinzani kwa kulalamika Bwana yani ccm kuwa upinzani inakuwa shidaaaa kila siku nina sema wezi wana mwisho na mwisho wao upo karibu sana
 
Mkuu mimi sijalalamika. Nimetoa taarifa.
Huyu LEMA kiboko yake ni polisi tu, anapewa dozi yake sasa.
 
Yaan ccm ni makenge wao ndo wameanxisha vurugu kura zinahesabiwa mara 11 na chadema inashida tu ccm hakutaka kuamin ndo maana ukarudiwa kama wanachakachua je? Ni kichapo tu hakuna jins

kura zinahesabiwa na Lema na walevi wa unga ltd? Kwann mgombea wa ccm apigwe?
 
Nimepita hapo muda si mrefu. Hali hapo sio shwari. Lema amekusanya vijana kutoka ungalimited. Ili wafanye fujo kwenye kituo hicho.
Mkuu MSALANI
No wonder kuna muda tukawa tunahisi harufu ya choo pande hizi,ole wako tungekuona,hakuna rangi ungeacha ona aisee

Matokeo ya serikali za mitaa mpaka sasa CCM inaongoza. Ikifuatiwa na Chadema. Sasa nani hatakiwi hapo?
Aisee hebu takwimu,2009,CHADEMA Walikuwa na mitaa mingapi against MAGAMBA then Provide the same for uchaguzi wa juzi uone nani hatakiwi Arusha..
Cc mohamed mtoi

Mkuu.
Lema ana kiherehere sana. Hajui majukumu yake kama Mbunge. Sasa uchaguzi mdogo kama huu wa kumpata mwenyekiti wa mtaa. Kulikuwa na haja gani ya kufanya fujo zote hizi mpaka kumng'oa mtu meno?
CCM ni majizi,dawa ni kuyabana angle zote.
Mamaaaaaaaaae....
 
Last edited by a moderator:
Katika kituo hicho cha Osterbay uchaguzi umerudiwa leo na muda huu kuna vurugu zinazofanywa na wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na mbunge wao G. Lema na mbunge wa viti maalum ambapo mgombea kupitia CCM amejeruhiwa.

Bar iliyopo karibu ya Komela Shine imefungwa pamoja na maduka ya jirani kutokana na vurugu hizo. Kikosi cha polisi na kamanda wa polisi wa mkoa tayari wameshafika kutuliza ghasia.
Mbona hueleweki?Vurugu huwa zina-uongozi?
 
Ashk Majnun inakusumbua wewe...

Katika kituo hicho cha Osterbay uchaguzi umerudiwa leo na muda huu kuna vurugu zinazofanywa na wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na mbunge wao G. Lema na mbunge wa viti maalum ambapo mgombea kupitia CCM amejeruhiwa.

Bar iliyopo karibu ya Komela Shine imefungwa pamoja na maduka ya jirani kutokana na vurugu hizo. Kikosi cha polisi na kamanda wa polisi wa mkoa tayari wameshafika kutuliza ghasia.
 
Mkuu.
Lema ana kiherehere sana. Hajui majukumu yake kama Mbunge. Sasa uchaguzi mdogo kama huu wa kumpata mwenyekiti wa mtaa. Kulikuwa na haja gani ya kufanya fujo zote hizi mpaka kumng'oa mtu meno?

kwa sababu magamba wanaiba sana
 
Mkuu MSALANI
No wonder kuna muda tukawa tunahisi harufu ya choo pande hizi,ole wako tungekuona,hakuna rangi ungeacha ona aisee

Aisee hebu takwimu,2009,CHADEMA Walikuwa na mitaa mingapi against MAGAMBA then Provide the same for uchaguzi wa juzi uone nani hatakiwi Arusha..
Cc mohamed mtoi

CCM ni majizi,dawa ni kuyabana angle zote.
Mamaaaaaaaaae....

mnajiliwaza na 2009! Let us talk about current issues. Waliojiandikisha mwaka huu ni more than 11 milion, je ndo hao hao waliojiandikisha hyo 2009?
 
Last edited by a moderator:
Yaan ccm ni makenge wao ndo wameanxisha vurugu kura zinahesabiwa mara 11 na chadema inashida tu ccm hakutaka kuamin ndo maana ukarudiwa kama wanachakachua je? Ni kichapo tu hakuna jins

hahahaha rahaaaaa
MSALANI nenda tu kaharishe na kunya ajira yako imefika ukingoni
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya serikali za mitaa mpaka sasa CCM inaongoza. Ikifuatiwa na Chadema. Sasa nani hatakiwi hapo?
haa haa kwani ccm ilikuwa na viti vingapi mwaka 2009 hapo arusha? Kama una akili timamu ccm wamepoteza zaidi kwenye uchaguzi huu.
 
Mkuu MSALANI
No wonder kuna muda tukawa tunahisi harufu ya choo pande hizi,ole wako tungekuona,hakuna rangi ungeacha ona aisee

Aisee hebu takwimu,2009,CHADEMA Walikuwa na mitaa mingapi against MAGAMBA then Provide the same for uchaguzi wa juzi uone nani hatakiwi Arusha..
Cc mohamed mtoi

CCM ni majizi,dawa ni kuyabana angle zote.
Mamaaaaaaaaae....
Naona unaleta porojo.
Mambo ya 2009 yametoka wapi hapa? Tunazungumzia uchaguzi uliofanyika juzi tarehe 14. Hizo historia za 2009 kajadilini kwenye vikao vyenu vya chama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom