Fyoooonza tani yako! Watu wenyewe zzzz!

Fyoooonza tani yako! Watu wenyewe zzzz!

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Brain drain (wenyewe huita brain circulation), madini - dhahabu, almasi, uranium "yellow cake", tanzanite, shaba... beba twiga, vyura, nyani, kiboko, kifaru... beba tu, wenyewe tunagombana, tukijapatana "mshayeya" wajinga ndiyo waliwao bwana, walituasa wakale wetu tunaowaita "walugaluga" waliopitwa na wakati wenye "longolongo zinatotuwekea usiku"!

4515509.jpg


source: Wavuti - Habari
 
siku hizi hata hiyo 10% bado unagawana na aliyetoa

ndio maana yake,yaani kabla haja toa hiyo 10% ana kuuliza nami changu ni ngapi?

hivi viongozi wetu wanavyo safiri nje ya nchi zao hawaoni maendeleo waliopiga wenzetu? ama huwa wanafumba macho pale wanapokutana na mambo mazuri wanajifanya hawaoni?

hivi hawa viongozi wetu hawaoni kama tunaibiwa? ama kwao hilo si tatizo?

kweli hii ni TZ zaidi uijuavyo
 
sanasana ilo kj ni kubwa jinga kwel kwel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom