Fyoooonza tani yako! Watu wenyewe zzzzz!

Fyoooonza tani yako! Watu wenyewe zzzzz!

Garmii

Senior Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
164
Reaction score
19
Brain drain(wenyewe huita brain circulation)
madini,almasi,dhahabu,shaba,uraniam,''yellow cake''tanzanite....!
Beba twiga,vyura,nyani,kiboko,kifaru beba tu wenyewe tunagombana,tukija patana mshayeya!
Wajinga ndio waliwao bwana,walituasa wakale wetu tunaowaita walugaluga waliopitwa na wkt....!
 
Mkuu nimeelewa mada yako ambayo inalenga kufyonzwa kwa rasilimali zetu.
Ila neno brain drain hutumika kwa rasilimali watu peke yake. Ikimaanisha wenye elimu na ujuzi kukimbilia mataifa ya kigeni badala ya kubaki kwenye nchi zao.

Zaidi ya hivyo si vibaya kwa rasilimali kama madini na kuuzwa nje kama kuna mikataba halali yenye kutoa mirahaba na kodi zenye tija.
Ila ni vema kwa madini au hata mazao ya kilimo kuongezewa thamani (processing) ili kukuza pato la taifa.

Nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya wanyama wana hatari ya kutoweka na hivyo ni makosa kuwatoa nje ya nchi kiholela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom