MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Mapenzi ya kweli siku hizi yameisha si tunadanganyana,anakuita mahoney madaly mababy tatalalila, sababu ya pesa mapenzi yameisha si tunadanganyana,wazee vijana wababa wamama wote talalalila doo ona jamaa anavyo tia huruma kweli fwedha fwedheha