Waliowapa uandalizi wa WC si wajinga!
Wanajua wazi kabisa kuwa baada ys WC Qatar haitakuwa kama ilivyo.
Mfano Qatar na masanamu wapi kwa wapi?
Lakini juzijuzi tu waliweka sanamu ya Zidane Qatar ingawa baadae waliioondoa lakini mbegu zishapandikizwa tayari.