futurists; mashindano ya world cup qatar 2022

futurists; mashindano ya world cup qatar 2022

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
qatar 2022.jpg waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembeth.jpgth (1).jpg mpe. :becky:qatar-soccer-world-cup-2022-hT2.jpg
 
Umeficha chuki zako tu kifuani huna lolote la maana. Kwako unaona uasherati, uzinzi na ushoga ni vitu vya maana sana. Hata huyo mungu wako atakuwa anakushangaa.

Eti waarabu hawana uwezo uwanjani..nyie timu yenu ipi imewahi kuwafunga waarabu wa Misri? Acheni chuki zisizo na maana.
 
Umeficha chuki zako tu kifuani huna lolote la maana. Kwako unaona uasherati, uzinzi na ushoga ni vitu vya maana sana. Hata huyo mungu wako atakuwa anakushangaa.

Eti waarabu hawana uwezo uwanjani..nyie timu yenu ipi imewahi kuwafunga waarabu wa Misri? Acheni chuki zisizo na maana.
labda hujanipata mkuu, hapa nazungumzia culture intermingling ambayo waarabu watai-face, mambo ya ushoga, uzinzi,uasherati ongeze na ulevini mambo huwa yapo sana kwenye michuano hii hata kama sipendi haya matendo wapo wanaopenda.
na kuhusu uwezo wa wa misri, hii ni kweli mkuu, misri ndio timu dhaifu sana kwenye michuano ya kombe la dunia kwani imekuwa ikishindwa kushiriki mara nyingi, pia bahati mbaya michuano ijayo hawapo pia. kuhusu tanzania kuifunga misri inawezekana tatizo ni misri kuwa na miundombinu mizuri ya kisoka kuliko sisi lakini pia misri ndio wana-host makao makuu ya michezo ya afrika na ndio maana ni rahisi wao kubebwa kama inavyotokea mara kadhaa. timu yao iliwahi kuja nchini mchezaji wao mmoja akampiga teke askari polisi wa tanzania, lakini tized haikufanya lolote kwa utomvu huu wa nidhamu, tumekuwa tukienda kwao na kukumbana na ubaguzi mbaya sana mwishowe tunafungwa, tumeshuhudia mara nyingi kwenye michuano misri wamekuwa wakibebwa na bahati mbaya hakuna wa kuwabeba inapofikia kushiriki michuano hii ya dunia kwasababu hawana uwezo wa kununua marefa. pili misri ipo bara la afrika na sio uarabuni ama mashariki ya kati, hivyo sioni umuhimu wa kuijadili sana hapa, pole kama unadhani wale ni waarabu.😛eace:
 
View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembe mpe. :becky:View attachment 130296
Mkuu 2013 Hebu jizindue kidogo !! info. uitoayo ni false !! kwanza pokea ujumbe huu.... Afu akija mtembea uchi Basi viboko/bakora vipo tayari kuchapa!!
ispokuwa wewe 2013 tutakupa himaya na ulinzi bora !! Karibu sana uje to your second home !!
images

1974 (June 18) Yugoslavia 9-Zaire 0 (World Cup
 
Mkuu 2013 Hebu jizindue kidogo !! info. uitoayo ni false !! kwanza pokea ujumbe huu.... Afu akija mtembea uchi Basi viboko/bakora vipo tayari kuchapa!!
ispokuwa wewe 2013 tutakupa himaya na ulinzi bora !! Karibu sana uje to your second home !!
images

1974 (June 18) Yugoslavia 9-Zaire 0 (World Cup
yes , zaire or DRC wali-make history, na rekodi yao bado haijavunjwa, :confused2:
am not sure thats why huwa naombea tusijekushiriki kabisa kama hatujajiweka vizuri kwani tunaweza kuweka history kuliko hawa wa-congo. nowadays congo wana timu za ligi ambazo zimeweza kufanya vizuri ulimwenguni, kama tiipi mazembe na baadhi za basketball. japo sisi tuna machache yakujivunia pia, ...lets proud our home boy and NBA player hasheem thabit:clap2:
 
yes , zaire or DRC wali-make history, na rekodi yao bado haijavunjwa, :confused2:
am not sure thats why huwa naombea tusijekushiriki kabisa kama hatujajiweka vizuri kwani tunaweza kuweka history kuliko hawa wa-congo. nowadays congo wana timu za ligi ambazo zimeweza kufanya vizuri ulimwenguni, kama tiipi mazembe na baadhi za basketball. japo sisi tuna machache yakujivunia pia, ...lets proud our home boy and NBA player hasheem thabit:clap2:
Bravo Rijali wa 2013; Nakupendea optimistics zako Weka hope ya mazuri the Tanzania HT (LongLive) funga kazi...!!na wengi wajao inshaAllah, Ze Camerons Et'oo, Yahya Toure, nk Ze West Africans fleets !! tatizo ubinafsi kwetu hatunaga TEAM-WORK !
Lakini tuachage wenye ujuzi waongoze na wenye Uwezo watekeleze " Tusipo weza kufanya, Tusiwazuie wenye uwezo kufanikisha "

 
View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....
art-100512.jpg
mtoto akililia wembeView attachment 130301View attachment 130302 mpe. :becky:View attachment 130296




ويب
صور
فيديو
المزيد الأخبار
الكتب
المدوّنات
مناقشات
التطبيقات
براءات الاختراع

أدوات البحث

  1. البحث الآمن




الحجم


اللون


النوع


الوقت


مزيد من الأدوات







أشر إلى الصورة المسيئة ثم انقر على إبلاغ.تم الإبلاغمزيد من المعلومات










[h=2]نتائج البحث[/h]
  1. {"fn":"Al-Shamal-Stadium.jpg","id":"AgHeWP35Vw53rM:","is":"1000\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;707","isu":"qatarstory.com","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSSwkCAd5Y_1flXDho3CxCwjKcIGi4KLAgBEgYGBBkWFBUaIJz0NwRsdmaGioTzzzrzeWZ2rt6KCTqHteqpZrjouVQJDCHGw6CQMqy43Q","s":"صور \u003Cb\u003Eملاعب قطر 2022\u003C/b\u003E","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESSwkCAd5Y_1flXDho3CxCwjKcIGi4KLAgBEgYGBBkWFBUaIJz0NwRsdmaGioTzzzrzeWZ2rt6KCTqHteqpZrjouVQJDCHGw6CQMqy43Q","sm":"مماثلة","th":189,"tu":"https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTDvgKXE44Vqe-_KdgYYtAPiWioGLaGhsO0_jUkRRN87IG1s8sB","tw":267}

    {"cl":6,"cr":3,"ct":12,"fn":"Doha-012.jpg","id":"2h6XD65aW9y5lM:","is":"679\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;480","isu":"theguardian.com","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSWQnaHpcPrlpb3BpFCxCwjKcIGjwKOggBEhT8A44EjwT4A58EngT-A9QDoQTAAxogmrhjQFySaJd6k7y9muLSwIFo2HuYv2eb-Yh8h5v5mWYMIZwH-9tg9ymP","s":"\u003Cb\u003EQatar World Cup\u003C/b\u003E: Doha. Doha Port \u003Cb\u003EStadium\u003C/b\u003E in Doha. To be built.","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESWQnaHpcPrlpb3BpFCxCwjKcIGjwKOggBEhT8A44EjwT4A58EngT-A9QDoQTAAxogmrhjQFySaJd6k7y9muLSwIFo2HuYv2eb-Yh8h5v5mWYMIZwH-9tg9ymP","sm":"مماثلة","th":189,"tu":"https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTpsEoRSegNQU6KoHfSr8jtmlOZ1YcPdVYB0DvYwyIbYeVkvwcj","tw":267}

    {"cr":3,"fn":"world-cup-2022-stadium.jpg","id":"Ps_SZmHrnIYQxM:","is":"1000\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;707","isu":"qatarstory.com","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSSAk-z9JmYeuchho0CxCwjKcIGisKKQgBEgMoJiUaIKaHY3EHVyQFu4WF7MLym5LGX_11ajKSfluyrX0usa6ZGDCHGw6CQMqy43Q","s":"صور \u003Cb\u003Eملاعب قطر 2022\u003C/b\u003E","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESSAk-z9JmYeuchho0CxCwjKcIGisKKQgBEgMoJiUaIKaHY3EHVyQFu4WF7MLym5LGX_11ajKSfluyrX0usa6ZGDCHGw6CQMqy43Q","sm":"مماثلة","th":189,"tu":"https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRlc7Z4_UfWeLZJ5uD9NP9-cRzBUAngR9jZ2GiMV82b224eqBNqpA","tw":267}

    {"cl":3,"cr":9,"ct":12,"fn":"Al-Khor-Stadium.jpg","id":"ciRqzGY4dM4LHM:","is":"800\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;600","isu":"qatar.to","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSRglyJGrMZjh0zhoyCxCwjKcIGikKJwgBEgEhGiCJpyRRB5QmKJmRdvxGt1tn5o2pinmFn2e9l6tp-odkNQwh1swddXngB3g","s":"Al-Khor \u003Cb\u003EStadium\u003C/b\u003E in \u003Cb\u003EQatar\u003C/b\u003E for the \u003Cb\u003EWorld Cup 2022\u003C/b\u003E","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESRglyJGrMZjh0zhoyCxCwjKcIGikKJwgBEgEhGiCJpyRRB5QmKJmRdvxGt1tn5o2pinmFn2e9l6tp-odkNQwh1swddXngB3g","sm":"مماثلة","th":194,"tu":"https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRktZIinJ6FVZ4JCxc4Epj2NPV8UDxoQPfXaiz-lamtObkZq18q","tw":259}

    {"fn":"Qatar-University-Stadium.jpg","id":"GnkeVy8T4aLLnM:","is":"800\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;600","isu":"qatar.to","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSSgkaeR5XLxPhoho2CxCwjKcIGi0KKwgBEgUgHxQXFRogt-dIUBxqSVaZo9LPeJm8ZZa_1v4qESNtq14kspf2raggMIdbMHXV54Ad4","s":"\u003Cb\u003EQatar\u003C/b\u003E University \u003Cb\u003EStadium\u003C/b\u003E design, for the Fifa \u003Cb\u003EWorld Cup 2022\u003C/b\u003E","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESSgkaeR5XLxPhoho2CxCwjKcIGi0KKwgBEgUgHxQXFRogt-dIUBxqSVaZo9LPeJm8ZZa_1v4qESNtq14kspf2raggMIdbMHXV54Ad4","sm":"مماثلة","th":194,"tu":"https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRwIYGC3fI6nTuBlbq08mx7m91wWtLEb1omCaR6KuzBt2J8zwCk","tw":259}

    {"cb":3,"cl":3,"cr":6,"fn":"bd77e87760ea0208585963974c169ab5.jpg","id":"L7Jt9W8f17L76M:","is":"3000\u0026nbsp;\u0026#215;\u0026nbsp;2121","isu":"thetechjournal.com","ity":"jpg","msm":"مزيد من الأحجام","msu":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAQSTwkvsm31bx_1Xsho7CxCwjKcIGjIKMAgBEgomJRweNisYGRosGiCryWczBYYIN3tYg-uk-Z6xlX-sfHm1e2jpi1952Yu4Nwwhkvst6xKRrkw","s":"In this handout image supplied by \u003Cb\u003EQatar 2022\u003C/b\u003E The Al-Wakrah \u003Cb\u003Estadium\u003C/b\u003E complex \u003Cb\u003E...\u003C/b\u003E","si":"/search?q=qatar+2022+world+cup+stadiums\u0026um=1\u0026sa=N\u0026hl=ar\u0026tbm=isch\u0026tbs=simg:CAESTwkvsm31bx_1Xsho7CxCwjKcIGjIKMAgBEgomJRweNisYGRosGiCryWczBYYIN3tYg-uk-Z6xlX-sfHm1e2jpi1952Yu4Nwwhkvst6xKRrkw","sm":"مماثلة","th":189,"tu":"https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTg-8SLA4NqGKkIiiOTK1FBaM7WwN4pxt3vo8d_L8IiiIRtAnWk9g","tw":267}






    bd77e87760ea0208585963974c169ab5





 
Bravo Rijali wa 2013; Nakupendea optimistics zako Weka hope ya mazuri the Tanzania HT (LongLive) funga kazi...!!na wengi wajao inshaAllah, Ze Camerons Et'oo, Yahya Toure, nk Ze West Africans fleets !! tatizo ubinafsi kwetu hatunaga TEAM-WORK !
Lakini tuachage wenye ujuzi waongoze na wenye Uwezo watekeleze " Tusipo weza kufanya, Tusiwazuie wenye uwezo kufanikisha "

much respect :sad:to you too mkuu😛oa
 
View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembeView attachment 130301View attachment 130302 mpe. :becky:View attachment 130296

Unamaanisha uislam? Sio dini ya waarabu.
 
With hight Respect to you and ofcoz I learn alot from your comments......
God Bless you and others in this small world.
me too, i like your comment because your not dogmatic when you assert comment but also you shows some respect for others people views no matter what . your integrity have made me feel comfortable to share some views with you in a much more respective way.
 
Unamaanisha uislam? Sio dini ya waarabu.
mkuu labda ninyooshe hapa. kila nchi inazo taratibu na sheria imeziweka na zinapokiukwa inapelekea adhabu, naimani qatar wanazo pia pengine zinahusika pia utaratibu wa mahusiano kati ya wanawake na waanaume, unywaji pombe, maadili katika kuvaa, na tamaduni zinazokubalika katika jamii. Na kuingia kwa wageni ni kiashiria kuwa utamaduni wa kimagharibi unatofauti kubwa na sheria za nchi hii mwenyeji.pia pengine baadhi ya sheria zao zinatokana na dini kuu katika nchi.
 
Alieanzisha hii thread hajafanya utafiti wa kutosha...hivi wafahamu kuwa Qatar wanajenga uwanja wa kwanza wenye umbo la tupu ya mwanamke?(fanya ku google utaona) Hio nchi ina uozo uliopindukia...haina haja kutaja yote. Uislamu na nchi ya uarabuni ni tofauti kabisa
 
Alieanzisha hii thread hajafanya utafiti wa kutosha...hivi wafahamu kuwa Qatar wanajenga uwanja wa kwanza wenye umbo la tupu ya mwanamke?(fanya ku google utaona) Hio nchi ina uozo uliopindukia...haina haja kutaja yote. Uislamu na nchi ya uarabuni ni tofauti kabisa
asante kwa kunijuza uwanja unaitwa Al wakrah(nick name: Alwakra vagina stadium), i don't know may be macho ya watu tu ndio yanapelekea kuliona jengo kwa muundo huo.1385462711628.cached.jpg
 
me too, i like your comment because your not dogmatic when you assert comment but also you shows some respect for others people views no matter what . your integrity have made me feel comfortable to share some views with you in a much more respective way.
Wanyumbani Most wellcom 24/7 ofcozi if we can't share this love here, How can we love the Almight God...
 
Back
Top Bottom