ndoto gani hizo za mchana
Mkuu kama nakuelewa vizuri unataka kusema JK ndio mastermind ya Ukawa kuchukua nchi. Kama nakuelewaelewa vile!
Hii ni fursa adimu na nadra sana kutokea in a life time,ni fursa ya kuiondoa ccm madarakani.
future ya ccm unaionaje baada ya october
Unaota ndoto za mchana, CCM chama dola, Lowassa wenu mtaumbuka tu.
future ya ccm unaionaje baada ya october
Nikuwa chama cha upinzani. Ninasikitika tuu kuwa kama kitakuwa na wabunge kama Asumpta au Kibajaji basi tutakuwa na wapinzani wa hovyo sana.
Ccm hawakuwa na evidence yoyote kuwa lowasa ni fisad.wamkamate tu kwa sasa si hana tena immunity!!!!!!
Nape Nnauye sasa anatafuta nchi ya kukimbilia
kwan yesu alikuwa na wafuasi wangapi lakin wakati anaenda kusulubiwa msarabani nani alimfata? lowassa alikuwa na wafwasi wengi kpnd yupo ccm bt akitoka ccm atakwenda peke yake myb na mke wake kwa maana imeandikwa kuwa mke au mme atawaacha wazaz wake na kuambatana na mumewe wakawe mwili mmoja
Hii ni fursa adimu na nadra sana kutokea in a life time,ni fursa ya kuiondoa ccm madarakani.
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.
Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
Lowasa anaitafuta heshima kwa gharama kubwa atapata aibu kwa bei nafuu.