Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

CCM kama KANU vile ndiyo bye bye forever! na kipenga cha migogoro ndani ya chama kimeshapulizwa hahaaaaaaaaaa!!!:wave:
 
Kwa sasa kikubwa ni kuiondoa thithiemu, mengine tutajadili baadae, kama akitoka huyu, hata ajaye atatoka tu
 
Semeni yote lakini Lowasa ndio hivo tena. Hata usipompenda ndio anaweza kuwa mgombea. sipati picha mapambano kati ya rivals hao Magufuli na Ngoyai

Kama Rumble in the jungle au
 
Weka akiba kidogo ya Maneno. Siasa ni kama Mpira. Usije ukakanusha maneno yako!



Kama wanavyo kanusha sasa kwamba Lowassa sio Fisadi???

Lakini sio ajabu kwa Mbwa kula matapishi yake!!!!!!!
 

Ilianzia hapa
View attachment 271671 ikaja hapa ilifikia had I hatua hii .
 
mtoa mada ameuliza UKAWA haitageuka kuwa CCM kwa vile kundi lenye sura mbaya ndo linahamia huko?
 
Mungu mwema anajua mengi yajayo kuliko mapana ya fahamu za sisi wanadamu..Nyakati tulizonazo yatupasa kuishi maisha ya kumtumaini Mungu Mwenyezi kuliko Chama,watu,Mtu,Vitu,Pesa,Elimu..hakika laana nyingi juu yetu zitakwisha zikiwemo za umaskini,Ufukara,ujinga,maradhi,mahangaiko,ukosefu wa amani,rushwa,ukosefu wa haki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…