.Barubaru ni vile hujajua watu maskini wa Tanzania wanathaminiwa wakati gani. Subiri kipindi cha uchaguzi kikikaribia uone. Maskini watapewa fulana, kofia, pesa, magodoro na kadhalika. Kura zikishapigwa thamani inageukia kwa matajiri, viongozi wa dini na wanasiasa. Watakirimiwa na mambo mengi vikiwemo hivyo vya mialiko yenye hadhi kama hiyo ya kufuturu unayoishangaa leo. Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania. Ahsanteni kwa kunisoma!
Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu.
Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama njia ya kujijenga kisiasa.
Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu ni wale walioamini tu na si vinginevyo.
Vile vile Imesisitizwa kwa kila aliyenacho amlishe masikini ndio maana mwezi huu watu wengi sana wanatoa futari na kuwapa maskini ili nao wajisikie vizuri katika funga zao.
Uislamu umesisitiza wazi kuwa ni lazima tuwapende wagonjwa,yatima, wazee na wasiojiweza. kama mtu anataka kufutarisha imesisitizwa kuyaangalia makundi hayo ya yatima, wazee,vikongwe na wasiojiweza na kuyapa futari au kufuturisha.
Sasa naona huko Tanzania, raisi anafutarisha matajiri na wasio waislamu akti anawaacha yatima, wazee na wasiojieza.
Vodacoma na Dr Daftari anajistaisha kisiasa kule wete kwa kufutarisha.
hakika hii ni mbaya na hakuna faida yoyote toka kwa muumba.
Dr Hamza Yusuf Al-Naamani
Doha. Qatar
.Like the typical ignorant, lowly-educated and narrow-minded mentality of the average Muslim fanatic that you represent, you appear to have forgotten that the president is for the whole country (and that includes Non-Muslims. Thank you!) and moreover he also happens to be a politician - thus "futari za kisiasa" (got it?)
How many Wazee, Yatima, Walemavu and other Wananchi who may qualify as "destitutes" can one President invite for Futari? And who'll have to foot the bill, may I ask (for we are here dealing with tens of millions of folks all over the friggin' land) ?
And just how many of these wretched among the masses of Tanzanians have you personally welcomed for Futari at your own house?
Bottomline is: You do you dude! Let Kikwete break bread with whomever he wishes. Damn!
.
Ahali yangu soma mada vizuri sana kabla ujakurupuka kujibu.
nakupa mfano mmoja mdogo sana huko Tanzania, tunaona mara nyingi Reginald Mengi anapata dinner au hata lunch na walemavu au hata watu wa jamii ya chini kimapato.
Tunajua kuna makambi mengi huko Tanzania ya mayatima au hata wazee n.k
Ni vizuri awaalike hao hao kupata nao Futari lather than kula Futari na Bakhresa.
Tusikurupuke uwe makini unapojibu mada. Toka lini mtu akadandia treni ka mbele?
Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu.
Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama njia ya kujijenga kisiasa.
Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu wa waislamu ni wale walioamini tu na si vinginevyo.
Vile vile Imesisitizwa kwa kila aliyenacho amlishe masikini ndio maana mwezi huu watu wengi sana wanatoa futari na kuwapa maskini ili nao wajisikie vizuri katika funga zao.
Uislamu umesisitiza wazi kuwa ni lazima tuwapende wagonjwa,yatima, wazee na wasiojiweza. kama mtu anataka kufutarisha imesisitizwa kuyaangalia makundi hayo ya yatima, wazee,vikongwe na wasiojiweza na kuyapa futari au kufuturisha.
Sasa naona huko Tanzania, raisi anafutarisha matajiri na wasio waislamu akti anawaacha yatima, wazee na wasiojieza.
Dr Hamza Yusuf Al-Naamani
Doha. Qatar
Vodacoma na Dr Dafutari anajistaisha kisiasa kule wete kwa kufutarisha.

Kwa hiyo kwa mtazamo wako ni kwamba hata kama Rais angeaalika hao yatima, wazee na wasiojiweza kwenye Futari, basi ni lazima wawe Waislamu siyo?
By the way, what field of study are you trained in? Dude, if at all you hold a "doctorate" as you claim, then it better be Doctor of Taarab or of Mipasho 'cause you display so ridiculously poor intellect to call yourself a Doctor in anything other than Swahili-Arabo-Islamic crap!
Dini ya kiislamu imejengwa katika misingi ya ubaguzi na nyakati tulizo nazo haziruhusu ubaguzi, from the president of all people.Hivyo basi, rais anajikuta katika hali ngumu pale anapotaka kuunganisha watu wote kwa kufuata nyayo za waliomtangulia, lakini kwa kutojali dini za watu wanatokea ma fundamentalist wanam fault hapa.
I don't blame you, I blame Islam for being so small minded and medieval.
Ni haki yako ku blame Islam kwa sababu wewe sio muisilamu na ndio maana niliwahi kusema hawa wazungu kama wangejuwa mara tu pale walipokuwa wanaleta ukiristo huku afrika na kuwambia wafuwasi wao kuwa kulawitiana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake si makatazo ya Bible basi leo tungekuwa tunashuhudia makubwa hata kuliko haya yanayotokea hivi sasa baada ya kubadilisha kipengele hicho na kuwa jambo hilo sasa ni ruksa kwa wafuwasi wao na hilo linawafanya kuwa na big mind na wapongeza kwa kwenda na wakati.
Katika mawazo yako ulimwengu umegawanywa kati ya uislam na ukristo tu, huoni kingine.
Wewe ungetaka wa-Taliban watawale dunia? Ungekuwa hata kwenye internet saa hizi?
Ni haki yako ku blame Islam kwa sababu wewe sio muisilamu na ndio maana niliwahi kusema hawa wazungu kama wangejuwa mara tu pale walipokuwa wanaleta ukiristo huku afrika na kuwambia wafuwasi wao kuwa kulawitiana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake si makatazo ya Bible basi leo tungekuwa tunashuhudia makubwa hata kuliko haya yanayotokea hivi sasa baada ya kubadilisha kipengele hicho na kuwa jambo hilo sasa ni ruksa kwa wafuwasi wao na hilo linawafanya kuwa na big mind na wapongeza kwa kwenda na wakati.walifanya makosa makubwa kutoleta jambo hilo wakati wa kueneza dini lakini naimani watafanikiwa only time will tell.
Bluray ....
This is nt Gud, jaribuni kujenga hoja na ukijaribu kujenga hoja kwa dini unajua hakutakuwa na conclusion!!
Hakuna kitu chenye nguvu kwa binadamu kama imani ... Imani huua, Imani huponya
so dont play na imani za watu, kabla hujaulamu huo uislam (kama ulivyofanya) jenga hoja za kwanini kwanza.
Weka imani yako kando kwa muda kwenye kijadala kama hii