futari za kisiasa

Tofauti ni kwamba Wazungu hawakufanya hivyo, na huoni vitendo kama hivyo vimezagaa kwenye jamii za Kikristo nchini ukilinganisha na zile za Kiislamu. Kwa maneno mengine, Wamanga waliruhusu Wafuasi wao kujamiiana waume kwa waume, na wanawake kwa wanawake na in fact, ndiyo walioingiza na kudumisha tabia hii Afrika Mashariki sehemu za mwambao kama Zanzibar, Pemba, Tanga, Mombasa, Comoros (pitia mada za jana kuhusu Ushoga na Ukimwi Zanzibar).

Inaonesha unayajuwa vizuri maeneo yenye vitendo hivyo any way kila mtu na fani yake ushauri wangu wacha matendo hayo.
 
Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu.

Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama njia ya kujijenga kisiasa.

Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu wa waislamu ni wale walioamini tu na si vinginevyo.

Vile vile Imesisitizwa kwa kila aliyenacho amlishe masikini ndio maana mwezi huu watu wengi sana wanatoa futari na kuwapa maskini ili nao wajisikie vizuri katika funga zao.

Uislamu umesisitiza wazi kuwa ni lazima tuwapende wagonjwa,yatima, wazee na wasiojiweza. kama mtu anataka kufutarisha imesisitizwa kuyaangalia makundi hayo ya yatima, wazee,vikongwe na wasiojiweza na kuyapa futari au kufuturisha.

Sasa naona huko Tanzania, raisi anafutarisha matajiri na wasio waislamu akti anawaacha yatima, wazee na wasiojieza.
Dr Hamza Yusuf Al-Naamani
Doha. Qatar
Vodacoma na Dr Dafutari anajistaisha kisiasa kule wete kwa kufutarisha.

hakika hii ni mbaya na hakuna faida yoyote toka kwa muumba.

barubaru!
ulikuwa hujui kwamba wanasiasa ni wasanii?
nakubaliana na wewe ni usanii wa hali ya juu wakati wa mwezi wa toba kuandaa futari na kuwakaribisha watu ambao hawashiriki hiyo funga. lakini kama unavyojua tamaa ya madaraka inawapofusha na hawana hata subira ya kungojea. sio matajiri wengi wanaowaona maskini unajua kwa nini umasikini ni mtaji mkubwa wa matajiri kama ilivyo ujinga ni mtaji mkubwa kwa wanasiasa.
nakutakia funga njema
 
Inaonesha unayajuwa vizuri maeneo yenye vitendo hivyo any way kila mtu na fani yake ushauri wangu wacha matendo hayo.

Kwa mazingira ya Kitanzania, Uislamu = Uhanithi/Usenge. Ghetto zote Dar zimejaa Mashoga wenye dini ya Kiislamu, na hapo bado hujaenda Zanzibar na Pemba (narudia tena, rejea mada ya juzi kuhusu Ushoga Zanzibar). Ushahidi tosha ni wewe mwenyewe, kwa sababu unazozijua ukaamua kuingiza hoja hii ya Kisenge kwenye mada hii inayohusu dini yako Uislamu. Naona sasa umeshindwa hoja, unaanza kusingizia wenzako kwa Uhanithi/Usenge ambayo wewe mwenyewe kwa akili na utashi wako umeuleta hapa bila ya kulazimishwa na mtu.
 
Mola akubariki sana na akuzidishie matusi haya na makubwa zaidi.
 
hii ni moja kati ya zile staili maalumu za kurubuni kwa kutumia dini.Lakini waislamu wanalijua hili kuwa walisha rubuniwa na ccm 2005 siamini kama umasikini utaendelea uliopo bado utaendelea kuwapofusha wasitambue kuwa wanaibiwa.
Mwenye macho haambiwi tazama.....
 
Kwa mazingira ya Kitanzania, Uislamu = Uhanithi/Usenge. Ghetto zote Dar zimejaa Mashoga wenye dini ya Kiislamu, na hapo bado hujaenda Zanzibar na Pemba (narudia tena, rejea mada ya juzi kuhusu Ushoga Zanzibar). Ushahidi tosha ni wewe mwenyewe, kwa sababu unazozijua ukaamua kuingiza hoja hii ya Kisenge kwenye mada hii inayohusu dini yako Uislamu. Naona sasa umeshindwa hoja, unaanza kusingizia wenzako kwa Uhanithi/Usenge ambayo wewe mwenyewe kwa akili na utashi wako umeuleta hapa bila ya kulazimishwa na mtu.

Tutafika kweli? :confused:
 
Kwa mazingira ya Kitanzania, Uislamu = Uhanithi/Usenge. Ghetto zote Dar zimejaa Mashoga wenye dini ya Kiislamu, na hapo bado hujaenda Zanzibar na Pemba (narudia tena, rejea mada ya juzi kuhusu Ushoga Zanzibar). Ushahidi tosha ni wewe mwenyewe, kwa sababu unazozijua ukaamua kuingiza hoja hii ya Kisenge kwenye mada hii inayohusu dini yako Uislamu. Naona sasa umeshindwa hoja, unaanza kusingizia wenzako kwa Uhanithi/Usenge ambayo wewe mwenyewe kwa akili na utashi wako umeuleta hapa bila ya kulazimishwa na mtu

Ndjabu Da Dude wewe ni SHOGA
 
DUDE punguza jazba wawie pole pale unapoona wameteleza kwani sidhani kama waislamu wote ni wabovu.
 
Kwa mazingira ya Kitanzania, Uislamu = Uhanithi/Usenge. Ghetto zote Dar zimejaa Mashoga wenye dini ya Kiislamu, na hapo bado hujaenda Zanzibar na Pemba (narudia tena, rejea mada ya juzi kuhusu Ushoga Zanzibar). Ushahidi tosha ni wewe mwenyewe, kwa sababu unazozijua ukaamua kuingiza hoja hii ya Kisenge kwenye mada hii inayohusu dini yako Uislamu. Naona sasa umeshindwa hoja, unaanza kusingizia wenzako kwa Uhanithi/Usenge ambayo wewe mwenyewe kwa akili na utashi wako umeuleta hapa bila ya kulazimishwa na mtu.

Ndjabu Da Dude vipi Jirani?
 
Kuwa na amani,

Allah SW. amesema kila nafsi italipwa kile ilichokusudia.

Ama umekusudia kujijenga kisiasa basi hicho ndicho utakachopata... lakini ujue Mwenyezi Mungu SW. hawezikukubalia funga yako... wakati akijua wazi kwamba ulifunga au ulilisha wasio waislamu kwa ajili ya kujijenga kisiasa.

Eeeh Mwenyezi Mungu, wafungulie viongozi na waumini wenzetu waache unafiki, kwa kuwa mwenyezi Mungu kwenye kitabu chako, umekemea unafiki.

AMIN
 
.
Amin yarabi amin
 
Itapendeza pia kuona Matonya & co. wakichati na akina Mengi/Kikwete/Balozi wa US etc. ikulu wakati wa futari.
 
Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu wa waislamu ni wale walioamini tu na si vinginevyo

Jamani hakuna sheria ya kumkataza mwanadamu mwingine KUFUNGA mwezi huu wanaofunga waislamu - KUFUNGA NI MAOMBI YA KUJINYENYEKEZA KWA MUNGU - kila mtu anaweza kufunga ila wengine hawatangazi - na kwenye KUFUNGA - FUTARI SIO ISSUE SANA - FUTARI NI CHAKULA TU CHA KUFUNGULIA - Mungu anaangalia moyo wa mtu zaidi
Of course wana siasa wanatake - advantage ya opportunity yoyote itakayojitokeza kujitangaza - HAMNA HATA SABABU YA KUTANGAZA WANAPOKARIBISHA WATU FUTARI - ILI IWEJE?? ILI WADHANIWE WAKARIMU SANA AU???????? WATANZANIA WANAHITAJI MAENDELEO KWENYE NCHI YAO - whether kuwe na FUTARI OR NO - maendeleo yawepo - barabara, maji, elimu kwa wote, chakula na fedha ya kununulia hicho chakula kwa kila mtanzania - ukiiongezea la muhimu zaidi AMANI
MUNGU ANAANGALIA MOYO
 
Kufuturisha huku kwa wanasiasa kuna walakini, lkn yote ya yote ajuae Allah, sisi kama watazamaji na washuhudiaji tuseme tuwezayo kusema na kama kuna uwezo wa kukataza jambo lolote kwa mdomo basi ni kheri zaidi, ila katika udhaifu wa imani ni kuchukia bila kuchukua hatua.

Hii ni changamoto kwetu sote.
 
Dini ya kiislamu imejengwa katika misingi ya ubaguzi na nyakati tulizo nazo haziruhusu ubaguzi, from the president of all people.Hivyo basi, rais anajikuta katika hali ngumu pale anapotaka kuunganisha watu wote kwa kufuata nyayo za waliomtangulia, lakini kwa kutojali dini za watu wanatokea ma fundamentalist wanam fault hapa.

I don't blame you, I blame Islam for being so small minded and medieval.
Waapi umeona/kusoma islam is small minded and medieval.?
 
Back
Top Bottom