futari za kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

futari za kisiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Sep 2, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu.

  Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama njia ya kujijenga kisiasa.

  Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu wa waislamu ni wale walioamini tu na si vinginevyo.

  Vile vile Imesisitizwa kwa kila aliyenacho amlishe masikini ndio maana mwezi huu watu wengi sana wanatoa futari na kuwapa maskini ili nao wajisikie vizuri katika funga zao.

  Uislamu umesisitiza wazi kuwa ni lazima tuwapende wagonjwa,yatima, wazee na wasiojiweza. kama mtu anataka kufutarisha imesisitizwa kuyaangalia makundi hayo ya yatima, wazee,vikongwe na wasiojiweza na kuyapa futari au kufuturisha.

  Sasa naona huko Tanzania, raisi anafutarisha matajiri na wasio waislamu akti anawaacha yatima, wazee na wasiojieza.
  Dr Hamza Yusuf Al-Naamani
  Doha. Qatar
  Vodacoma na Dr Dafutari anajistaisha kisiasa kule wete kwa kufutarisha.

  hakika hii ni mbaya na hakuna faida yoyote toka kwa muumba.
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu.

  Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama njia ya kujijenga kisiasa.

  Tukirudi kwenye Uislam tunaona kamba Allah amesema wazi kuwa anayestahiki kufunga mwezi huu ni wale walioamini tu na si vinginevyo.

  Vile vile Imesisitizwa kwa kila aliyenacho amlishe masikini ndio maana mwezi huu watu wengi sana wanatoa futari na kuwapa maskini ili nao wajisikie vizuri katika funga zao.

  Uislamu umesisitiza wazi kuwa ni lazima tuwapende wagonjwa,yatima, wazee na wasiojiweza. kama mtu anataka kufutarisha imesisitizwa kuyaangalia makundi hayo ya yatima, wazee,vikongwe na wasiojiweza na kuyapa futari au kufuturisha.

  Sasa naona huko Tanzania, raisi anafutarisha matajiri na wasio waislamu akti anawaacha yatima, wazee na wasiojieza.

  Vodacoma na Dr Daftari anajistaisha kisiasa kule wete kwa kufutarisha.

  hakika hii ni mbaya na hakuna faida yoyote toka kwa muumba.

  Dr Hamza Yusuf Al-Naamani
  Doha. Qatar
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Barubaru ni vile hujajua watu maskini wa Tanzania wanathaminiwa wakati gani. Subiri kipindi cha uchaguzi kikikaribia uone. Maskini watapewa fulana, kofia, pesa, magodoro na kadhalika. Kura zikishapigwa thamani inageukia kwa matajiri, viongozi wa dini na wanasiasa. Watakirimiwa na mambo mengi vikiwemo hivyo vya mialiko yenye hadhi kama hiyo ya kufuturu unayoishangaa leo. Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania. Ahsanteni kwa kunisoma!
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  .

  Mimi ningeshauri watumie kutoa Dinner au hata Lunch lakini sio futari.
  Hii ni kuikebehi funga ya mola.
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Like the typical ignorant, lowly-educated and narrow-minded mentality of the average Muslim fanatic that you represent, you appear to have forgotten that the president is for the whole country (and that includes Non-Muslims. Thank you!) and moreover he also happens to be a politician - thus "futari za kisiasa" (got it?)

  How many Wazee, Yatima, Walemavu (and other Wananchi who may qualify as "destitutes") can one President invite for Futari? And who'll have to foot the bill, may I ask: for we are here dealing with tens of millions of folks all over the friggin' land!?

  And just how many of these wretched among the masses of Tanzanians have you personally welcomed for Futari at your own house?

  Bottomline is: You do you dude! Let Kikwete break bread with whomever he wishes. Damn!
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  .

  Ahali yangu soma mada vizuri sana kabla ujakurupuka kujibu.
  nakupa mfano mmoja mdogo sana huko Tanzania, tunaona mara nyingi Reginald Mengi anapata dinner au hata lunch na walemavu au hata watu wa jamii ya chini kimapato.

  Tunajua kuna makambi mengi huko Tanzania ya mayatima au hata wazee n.k

  Ni vizuri awaalike hao hao kupata nao Futari lather than kula Futari na Bakhresa.

  Tusikurupuke uwe makini unapojibu mada. Toka lini mtu akadandia treni ka mbele?
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo kwa mtazamo wako ni kwamba hata kama Rais angeaalika hao yatima, wazee na wasiojiweza kwenye Futari, basi ni lazima wawe Waislamu siyo?

  By the way, what field of study are you trained in? Dude, if at all you hold a "doctorate" as you claim, then it better be Doctor of Taarab or of Mipasho 'cause you display so ridiculously poor intellect to call yourself a Doctor in anything other than Swahili-Arabo-Islamic crap!
   
 8. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mwenyezi mungu anatwambia hatowaficha watu wanafiki ,hilo halina shaka binafsi niliona picha ya Rais kiwete akiwa amewaita maskofu kwa ajili ya futari sasa hapa anamdanganya nani kama sio nafsi yake ,Mmungu anasema anayajuwa yaliyomo ndani ya nafsi zetu hata kabla hatujayatamka.binafsi kitendo kile ni kwenda kinyume na mamrisho uliyoamrishwa hasa kufuatia Mwezi mtufufu wa Ramadhani .(huko ndio kujifanya Mshumaha unafurahisha watu kumbe huku unanyongonyea ,hao wanafurahishwa hawazimi na wala hawashi mbele ya Mmungu)
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Dini ya kiislamu imejengwa katika misingi ya ubaguzi na nyakati tulizo nazo haziruhusu ubaguzi, from the president of all people.Hivyo basi, rais anajikuta katika hali ngumu pale anapotaka kuunganisha watu wote kwa kufuata nyayo za waliomtangulia, lakini kwa kutojali dini za watu wanatokea ma fundamentalist wanam fault hapa.

  I don't blame you, I blame Islam for being so small minded and medieval.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hey dude, why are you pickin' on him?
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni haki yako ku blame Islam kwa sababu wewe sio muisilamu na ndio maana niliwahi kusema hawa wazungu kama wangejuwa mara tu pale walipokuwa wanaleta ukiristo huku afrika na kuwambia wafuwasi wao kuwa kulawitiana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake si makatazo ya Bible basi leo tungekuwa tunashuhudia makubwa hata kuliko haya yanayotokea hivi sasa baada ya kubadilisha kipengele hicho na kuwa jambo hilo sasa ni ruksa kwa wafuwasi wao na hilo linawafanya kuwa na big mind na wapongeza kwa kwenda na wakati.walifanya makosa makubwa kutoleta jambo hilo wakati wa kueneza dini lakini naimani watafanikiwa only time will tell.
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Katika mawazo yako ulimwengu umegawanywa kati ya uislam na ukristo tu, huoni kingine.

  Wewe ungetaka wa-Taliban watawale dunia? Ungekuwa hata kwenye internet saa hizi?
   
 13. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hatuzungumzi watalabani hapa,kwa maana hiyo unataka kunambia na wewe wakati kama huu ungekuwa wanakubend over?
   
 14. m

  mkulu Member

  #14
  Sep 3, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bluray ....

  This is nt Gud, jaribuni kujenga hoja na ukijaribu kujenga hoja kwa dini unajua hakutakuwa na conclusion!!
  Hakuna kitu chenye nguvu kwa binadamu kama imani ... Imani huua, Imani huponya
  so dont play na imani za watu, kabla hujaulamu huo uislam (kama ulivyofanya) jenga hoja za kwanini kwanza.
  Weka imani yako kando kwa muda kwenye kijadala kama hii
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Tofauti ni kwamba Wazungu hawakufanya hivyo, na huoni vitendo kama hivyo vimezagaa kwenye jamii za Kikristo nchini ukilinganisha na zile za Kiislamu. Kwa maneno mengine, Wamanga waliruhusu Wafuasi wao kujamiiana waume kwa waume, na wanawake kwa wanawake na in fact, ndiyo walioingiza na kudumisha tabia hii Afrika Mashariki sehemu za mwambao kama Zanzibar, Pemba, Tanga, Mombasa, Comoros (pitia mada za jana kuhusu Ushoga na Ukimwi Zanzibar).
   
 16. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wakuu heshima zote kwenu na dini zote zilizotajwa kwenye hii post.nadhani ni vizuri tukiheshimu dini ya kila mtu na haina haja kutukanana tunapojaribu kuwakilisha hoja zetu au kutukana dini ya wenzetu.post nimeilewa vizuri na aliyeweka kajaribu kutumia maana ya futari na jinsi ilivyotumika vibaya.kwa jinsi alivyo weka hii post ni kama mtu unaenda kutoa sadaka kwa tajari hapo inakuwa inatoa maana ya sadaka na inakuwa zawadi kwani wote tunajua msingi wa sadaka ni nini. turudi kwenye swala la kufuturisha sio raisi tu bali hata sisi binafsi tumekuwa na tabia hio tunawaalika ndugu zetu.marafiki zetu na majirani zetu kutoka dini zote siku hizi na hata kama ni waislamu huwa ni ambao wanajiweza.jana pia obama katoka kufuturisha na si kwamba serikali yake ya kiislamu bali anajaribu kujenga uhusiano mzuri na dini hii kutumia njia ya futari.siwezi kumlaumu jk au watu wengine wowote kufanya hivyo kwani sasa hivi dunia imegawanyika mno na swala zuri tu kutumia nafasi kama hii kujaribu kuunganisha jamii zetu bila kubagua dini au kabila yoyote.
  kwahio ndugu yangu barubaru hoja yako nimeilewa na ni kweli uliyoyasema lakini pia ujue kwamba dunia ya sasa imebadirika na imegawanyika na hapa futari imetumika kwa njia nzuri ya kuunganisha watu kwa upendo ukijumlisha na hizo ulizotaja wewe.
  kwa wale wengine waliochangia na kwenda moja kwa moja kushambulia uislamu au ukristo sio swala zuri na wala halijengi umoja bali linazidi kubomoa.
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mimi nimekuwa niki expose dini -dini zote- kama frauds.Sasa sijui unaposema niweke imani yangu kando, unamaanisha imani gani.

  Ndiyo maana nikauliza kwa nini watu wana assume kwamba ukishambulia uislamu basi wewe ni mkristo? Mimi siamini in any supernatural deity and any religion.

  Dini yangu, kama unaweza kuiita dini, ni kutafuta ukweli.

  Naelewa concept nzima ya kuheshimu dini za watu.At the same time, ukitaka niheshimu dini za watu naomba nao waheshimu "dini" yangu ya kutafuta ukweli.Kwa hiyo kama dini yako imekaa kushoto na haiwezi ku stand some simple tests of logic, ni wajibu wa wapenda ukweli kuyasema hayo.

  Currently hakuna dini yoyote inayostand tests za logic na sayansi, vitu ambavyo kama kweli kuna mungu kama inavyodaiwa basi vinatakiwa kuwa tests ndogo tu.
   
 18. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndjabu Da Dude.

  Umefilisika kwa hoja. UMEFULIAAAAAAAAAAAA
   
 19. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dr Barubaru.

  Kikweli uliyonena ni sahihi kabisa, siku hizi ili mtu apate kura basi mwezi huu hususan karibu ya uchaguzi basi anawafutarisha waislamu.

  napenda nikuchekeshe kidogo, Hata Ubalozi wa USA unaandaa futari huko zanzibar lakushangaza hakuna hata muislam mmoja kati ya wale maofisa wakuu wa ule ubalozi. Wenyewe wanaita kuimarisha udugu na waislamu.
   
 20. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Binafsi natayarisha Xmas zawadi nipete kwenye uchaguzi
   
Loading...