Futari ya Mwarabu...

Futari ya Mwarabu...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
.......
mwarabu.jpg
 
Hahahahah lol! Ahsante sana Boflo nimecheka ile mbaya...Jamaa hakujua uwezo wa tumbo lake!? Alikuwa anafakamia tu lol! 🙂
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! Ahsante sana Boflo nimecheka ile mbaya...Jamaa hakujua uwezo wa tumbo lake!? Alikuwa anafakamia tu lol! 🙂
Waarabu wanapenda sana pilau na nyama ya mbuzi....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We Boflo mwenzio Mbuzi Mzee kawaomba watu radhi asubuhi sababu ya hii picha wewe unairudisha tena hapa. Shauri yako wakikudaka usiniite kukutetea maana najua huwezi ngumi.
 
Last edited by a moderator:
Hiii nafikiri sio futari ni chakula cha Eid yenyewe!!maana futari shurti iwe laini...hapo utaumiza tumbo na mapilau hayo...napita tu
 
Back
Top Bottom