Sorry
Kbd, nimechelewa kuiona hii. Viazi vyenye maganda mekundu ndio vizuri kwa katlesi au kachori sababu ni vikavu. vyeupe ni vizuri kwa chipsi hua havinywi mafuta sana. zamani nilikua nateseka nt anymore! tulishawahi kuvichemsha vyeupe vikawa rojo tukaishia kuchanganya na mayai kufanya zege rojorojo badala katlesi...lol