Futa delete kabisa CCM Arusha

Futa delete kabisa CCM Arusha

Mtate

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
58
Reaction score
13
Wakuu hili zoezi Kinyakyusa tunasema imbombo jilipa yaani 2015 usishangae CCM wakakosa kiti hata kimoja cha udiwan ARUSHA
Fedha za world bank zilizofichwa miaka yote Lema ameenda kuzifichua na sasa barabara nyingi Arusha ni lami mapato ta ndani yamedhibitiwa.

Hongereni CHADEMA.
 
bora arusha mnajielewa,kuna wapuuz wa dar hasa temeke huko,ovyooo ccm
 
Mkuu mleta mada,
Hebu tujuze LEMA alizifichuaje hizo fedha wa WB? na zilikuwa zimefichwa wapi?
Vipi kuhusu miji mingine iliyojengewa barabara kwa mpango huu huu wa World Bank? huko nako nani "alizifichua?" kwa mfano dodoma.
 
hivi unatudanganya kuwa lema ndiyo alifuchua fedha za world bank. Kwa taarifa yako lema hata ukimwambia andae simple propasal apeleke crdb apate mkopo hawezi, wala world bank aitambui kitu kinachoitwa lema, acheni siasa uchwara
 
Back
Top Bottom