Fuso la kuni hadi kufika Dar ni bei gani

Fuso la kuni hadi kufika Dar ni bei gani

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,041
Reaction score
13,382
Habari

Wajuvi wa hili nipeni gharama za manunuzi ya kuni kutoka mikoani hadi kufika Dar kwa fuso/canter

Nina kijana wangu anataka kufanya biashara hii nataka kujua gharama zake ili nimpatie mtaji (mkopo)
 
Back
Top Bottom