Fuso fighter inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fuso fighter inahitajika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ifolako, Jan 28, 2011.

 1. i

  ifolako Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nahitaji gari la mizigo aina ya Mitsubish Fuso fighter ya kawaida au mayai ya kununua.Kwa mwenye nalo anaweza kutuma tangazo lake humu humu janvini kwa kuweka mawasiliano yake nami nitamtwangia.
  NB.Usiweke bei ya kulipua(burster price)
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Fuso mayai ndio nini?? kama unataka mayai katafute kuku wa kienyeji!!
   
Loading...