FURSA

Mnyamalyx

Member
Oct 31, 2015
88
95
Fursa,fursa mpya yaingia bongo tangu mwezi Wa 6_2016.Ni network marketing shirika lina itwa helping hands international (h2i), wadhamini wake ni Hyundai motors,diamond trust bank,lenovo laptop,HP laptop,apple na bill gate.tupia no.yako nikuweke kwenye training ukielewa thubutu.kwa pamoja tuwanze mwaka mpya kwa kuwekeza.MAISHA HAYANA VISINGIZIO,NIKUPAMBANA NA KUSAIDIZANA.
 

Mnyamalyx

Member
Oct 31, 2015
88
95
Wazo zuri but nadhani itakua busara zaidi ukajifunza direct kwenye group letu la whatsap ndugu
 

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,859
2,000
Hawa majamaa ni matapeli ile mbaya. Fadhili Ngajilo ndio mratibu wa hii kitu. Ni matapeli sana. Nilianza now ila mwishoni nilishika kichwa
 

Mnyamalyx

Member
Oct 31, 2015
88
95
Jifunze uelewe sio kila kitu ni utapeli,muulizeni analielewaje hilo shirika afu mi nitatoa majibu ya kutosha,afu nikuulize unajua hili shirika limeingia tz mwaka gani,kubali kujifunza usipo elewa uliza.
 

Mnyamalyx

Member
Oct 31, 2015
88
95
My dear no free lunch in economy, kama ww unahitaji kufanya kazi ambayo haita asiri muda wako mwingine ni ni network marketing tu, nakubali zipo zilikuja nyingi sana kama referal,hicharity lakini zime yumba na zote hizi zilikua zinatumia system ya Ku activate account ukitaka kuvuka stage fulan,but hii ukisha donate Mara moja ndo bhac unaanza kazi maisha yako yote,pia unaweza lisisha Ndugu yako wakarbu kama Mali zngne wanavyo Fanya.Inawezekana kabisa Ndugu unae lalama ushawai kufanya hzo Fursa nilizo zitaja ukashindwa ndo maana wasema hvyo but funguaj akili,kubali ujifunze vitu vipya then ukielewa utajudje utachukua hatua only that....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom