Ongeza kipato kwa njia hii rahisi

john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
78
FURSA YA KUONGEZA KIPATO
HELPING HANDS INTERNATIONAL-Tanzania
Helping Hands International (h2i) ni utaratIbu unaoshughulika na kuwawezesha washiriki nafasi ya kimataifa iliyoanzishwa kwa shauku ya uwezo wa kimaendeleo ya binadamu na kuwasaidia waliokosa fursa kuutambua ulimwengu mzuri, hivyo h2i inakupa uhakika wa kujiwezesha wewe na watu wanaokuzunguka.
Hatuwezeshi maisha yako pekee, tutafanya kazi na wewe na kuwezesha wengine kupitia kwako, kwa kupendekeza h2i kwa uwapendao (ndugu na marafiki) kwa msaada na kuwawezesha.
WADHAMINI WA MRADI HUU
1. HYUNDAI
2. HP
3. APPLE
4. GLOW
5. DIAMOND BANK
6. GAC-JEEP
7. BILL GATES- FOUNDATION
Ukijiunga na h2i kupitia kwa member aliyekwisha jiunga utaweza kulipwa na kampuni kwa kila member mpya utakaye mtambulisha kwenye mfumo huu.Unaweza tambulisha watu wawili tu chini yako na kama utapata zaidi basi itakubidi atambulishwe chini ya member uliyekwisha mtambulisha. Zaidi ya hapo h2i itakupatia laptop,gari,nyumba na mkopo usio na riba kulingana na hatua uliyofikia katika kutambulisha watu wapya.Kuna hatua tano kama zifuatavyo
HATUA YA 1
Watu 2 @ $8 = $16 + Bonus $10 = $ 26
Watu 6 @ $8 = $48 + Bonus $10 = $ 58

HATUA YA 2
Watu 14 = $100
Watu 26 = $200
Watu 38 = $300
Watu 50 = $400
Ukifikisha watu 50 utaweza chagua zawadi ya Ipad au Laptop ya HP

HATUA YA 3
Hatua hii ni pale utakapofikisha watu 62
Utapata $ 3000
Gari aina ya Hyundai
Kuwawezesha watu wawili utakaowapendekeza kila mmoja atapewa $1000
Safari ya Dubai
Elimu ya ujasiria mali
Hatua hii itakuwezesha wewe na team yako kupata kiasi cha $100,000 kwa ajili ya kusaidia kujenga kituo kwa ajili ya wasiojiweza

HATUA YA 4
Hatua hii ni pale utakapo fikisha watu 124
Utachagua safari katika nchi unayoitaka
Utapata gari aina ya Jeep
Utapata $6000
Mkopo usiokuwa na riba $12000
Kusomeshewa watoto 2
Kujengewa kituo kwa ajili ya wasiojiweza

Kiingilio katika mfumo huu wa h2i ni $40 (sawa na tshs 90,000 tu), pesa hii itagawanywa katika mshirika hayo 7 kama uwekezaji na watarudisha faida ambayo utaipata wewe na pia kuweza kusaidia jamaa na rafiki.Ukishajiunga utapewa username na password ambayo utaibadilisha hapo baadae, hii ni kukuwezesha kuingia kwenye account yako ya h2i
Dollar imetumika kuelezea thamani ya pesa kama ilivyopangwa na h2i ila malipo yote yatafanyika kwa fedha za kitanzania.
Kwa maelekezo zaidi na kujiunga ; 0763309632
Visit helpinghandsinternational.biz
 
Attachments

  • Image_gallery_iCars_awarded_to_distinguished_partners.jpg
    Image_gallery_iCars_awarded_to_distinguished_partners.jpg
    10.4 KB · Views: 109
  • Image_Promo_iH2i_IPAD_Award_Recipients_Flaunting_it......JPG
    Image_Promo_iH2i_IPAD_Award_Recipients_Flaunting_it......JPG
    143.5 KB · Views: 91
Yaani watu wanataka kusaidia then ili wakusaidie inabidi uwalipi kwanzao_O

Kamdanganye mjinga asiyejua pyramida scheme...

Kwa wale wa chekundu chekundu wataendelea kuliwa. Ila wenye akili hawatafuti hela kwa style hiyo. Wenye hela zao wanafanya kazi kwa bidiii na kutumia kila single senti kuwekeza kwenye vitu vya maana na siyo mission town za pyramidal scheme:cool:
 
FURSA YA KUONGEZA KIPATO
HELPING HANDS INTERNATIONAL-Tanzania
Helping Hands International (h2i) ni utaratIbu unaoshughulika na kuwawezesha washiriki nafasi ya kimataifa iliyoanzishwa kwa shauku ya uwezo wa kimaendeleo ya binadamu na kuwasaidia waliokosa fursa kuutambua ulimwengu mzuri, hivyo h2i inakupa uhakika wa kujiwezesha wewe na watu wanaokuzunguka.
Hatuwezeshi maisha yako pekee, tutafanya kazi na wewe na kuwezesha wengine kupitia kwako, kwa kupendekeza h2i kwa uwapendao (ndugu na marafiki) kwa msaada na kuwawezesha.
WADHAMINI WA MRADI HUU
1. HYUNDAI
2. HP
3. APPLE
4. GLOW
5. DIAMOND BANK
6. GAC-JEEP
7. BILL GATES- FOUNDATION
Ukijiunga na h2i kupitia kwa member aliyekwisha jiunga utaweza kulipwa na kampuni kwa kila member mpya utakaye mtambulisha kwenye mfumo huu.Unaweza tambulisha watu wawili tu chini yako na kama utapata zaidi basi itakubidi atambulishwe chini ya member uliyekwisha mtambulisha. Zaidi ya hapo h2i itakupatia laptop,gari,nyumba na mkopo usio na riba kulingana na hatua uliyofikia katika kutambulisha watu wapya.Kuna hatua tano kama zifuatavyo
HATUA YA 1
Watu 2 @ $8 = $16 + Bonus $10 = $ 26
Watu 6 @ $8 = $48 + Bonus $10 = $ 58

HATUA YA 2
Watu 14 = $100
Watu 26 = $200
Watu 38 = $300
Watu 50 = $400
Ukifikisha watu 50 utaweza chagua zawadi ya Ipad au Laptop ya HP

HATUA YA 3
Hatua hii ni pale utakapofikisha watu 62
Utapata $ 3000
Gari aina ya Hyundai
Kuwawezesha watu wawili utakaowapendekeza kila mmoja atapewa $1000
Safari ya Dubai
Elimu ya ujasiria mali
Hatua hii itakuwezesha wewe na team yako kupata kiasi cha $100,000 kwa ajili ya kusaidia kujenga kituo kwa ajili ya wasiojiweza

HATUA YA 4
Hatua hii ni pale utakapo fikisha watu 124
Utachagua safari katika nchi unayoitaka
Utapata gari aina ya Jeep
Utapata $6000
Mkopo usiokuwa na riba $12000
Kusomeshewa watoto 2
Kujengewa kituo kwa ajili ya wasiojiweza

Kiingilio katika mfumo huu wa h2i ni $40 (sawa na tshs 90,000 tu), pesa hii itagawanywa katika mshirika hayo 7 kama uwekezaji na watarudisha faida ambayo utaipata wewe na pia kuweza kusaidia jamaa na rafiki.Ukishajiunga utapewa username na password ambayo utaibadilisha hapo baadae, hii ni kukuwezesha kuingia kwenye account yako ya h2i
Dollar imetumika kuelezea thamani ya pesa kama ilivyopangwa na h2i ila malipo yote yatafanyika kwa fedha za kitanzania.
Kwa maelekezo zaidi na kujiunga ; 0763309632
Visit helpinghandsinternational.biz
Ibilisi hakati tamaa na kazi ya kudanganya na kuwaibia watu kijinga_jinga kupitia michezo ya kuzimu ya *UPATU*
 
Wizi mtupu. Unaweka majina ya makampuni ya watu ili kuuongezea utapeli wako credubility. Kwanza hakuna Bill Gates Foundation kuna Bill and Melinda Gates Foundation
 
Hakika hutampata mjinga yeyote yule
 
Mkuu umebugi embu tafuta maboya wengine aisee wa kuwashika.. Hapa hupati kitu ng, oo!!
 
Back
Top Bottom