Vyoyote utakavyosema lakini ukweli upo wazi waha wanaubinafsi sana!!nawasiwasi hata na ufahamu wako, mtu unapofikia hitimisho la kitu sio kama kila mtu umemuuliza, ingekuwa hivyo watafiti wasingeweza kufanya kazi zao!!nimeishi nao mikoa tofauti tofauti lakini nilipokuwa kigoma/Drc ndio nilifikia hitimisho langu kuwa ni watu wabaya sana!!