- Feb 10, 2006
- 4,432
- 15,847
Endapo unataka kusomea India au Australia na kuwa sponsored, chukua files zilizo attached kwa chini hapo na fuata maelekezo. Muda unaruhusu...
Shukrani kwa aliyenitumia fursa hizi
Shukrani kwa aliyenitumia fursa hizi
mwenye kisu kikali ndo atakayekula nyama....Nimeipenda hii ya Australia lakini naona haitugusi sisi tulio katika private sectors
You are currently employed by a Tanzanian public sector organisation or training institution (includes parastatals and other public sector entities)