stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Wakuu naomba kujulishwa fursa za kibiashara zilizopo kahama ukiondoa mining industry.Naombeni mnishauri nifanye biashara ipi wakuu.
Shukrani mkuu..........Chukua maji ya kilimanjaro,jaza kwenye semi,peleka.
kila kitu kinauza soko kubwa kule provided una mtaji.