inungulyamako
Member
- Dec 13, 2020
- 64
- 55
Habari za Mwaka Mpya wanajamii forum nilikua naomba fursa ya biashara kwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya
Kilimo cha mpungaHabari za Mwaka Mpya wanajamii forum nilikua naomba fursa ya biashara kwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya
KudangaHabari za Mwaka Mpya wanajamii forum nilikua naomba fursa ya biashara kwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya
Huku maeneo ya NzovweFursa ni wewe na maono yako
Karibu mbeya
Mbeya sehemu gani ili tukujuze fursa za mahali ulipo
Kweli,nimeishi miaka miwili kule chipsi kiukweli bado sana kwa kule labda kwa maeneo mengine, ilikuwa nikijisikia napika geto tuTafuta sehemu karibu na masoko tengeneza chipsi Tamu na safi Kama dar Mwanza, maana tangu nimefika huku naona wanapika chipsi chafu chafu tu na siyo Tamu na ukienda kwenye chakula ndo kabisa hakuna sehemu yenye msosi mtamu wa kuteka mteja arudi tena
Wanyaki na wasafwa hawajui kupika kabisaTafuta sehemu karibu na masoko tengeneza chipsi Tamu na safi Kama dar Mwanza, maana tangu nimefika huku naona wanapika chipsi chafu chafu tu na siyo Tamu na ukienda kwenye chakula ndo kabisa hakuna sehemu yenye msosi mtamu wa kuteka mteja arudi tena