Tupeaneni fursa za kiabishara kwa mkoa wa Mbeya

Tafuta sehemu karibu na masoko tengeneza chipsi Tamu na safi kama Dar Mwanza, maana tangu nimefika huku naona wanapika chipsi chafu chafu tu na siyo Tamu na ukienda kwenye chakula ndo kabisa hakuna sehemu yenye msosi mtamu wa kuteka mteja arudi tena
 
Pia kama unamtaji mkubwa unaweza kufungua supermarket maana naona maduka ndo wanayaita supermarket.
 
Kama una mtaji kidogo nenda Kamsamba kalime, mpunga, mtama, choroko, ufuta, alizeti, mahindi vyote vina stawi na hutumii mbolea
 
Tafuta sehemu karibu na masoko tengeneza chipsi Tamu na safi Kama dar Mwanza, maana tangu nimefika huku naona wanapika chipsi chafu chafu tu na siyo Tamu na ukienda kwenye chakula ndo kabisa hakuna sehemu yenye msosi mtamu wa kuteka mteja arudi tena
Kweli,nimeishi miaka miwili kule chipsi kiukweli bado sana kwa kule labda kwa maeneo mengine, ilikuwa nikijisikia napika geto tu
 
Tafuta sehemu karibu na masoko tengeneza chipsi Tamu na safi Kama dar Mwanza, maana tangu nimefika huku naona wanapika chipsi chafu chafu tu na siyo Tamu na ukienda kwenye chakula ndo kabisa hakuna sehemu yenye msosi mtamu wa kuteka mteja arudi tena
Wanyaki na wasafwa hawajui kupika kabisa
 
Mkuu kama una subira vumilia kidogo kufuatia tamko la shirika la afya sio muda zao za bangi litatutoa kimasomaso
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom