FURSA ZA AJIRA (KUAJIRIWA AU KUJIAJIRI) KWA SAYANSI ZA KOMPYUTA KATIKA NGAZI YA DIPLOMA, (DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCES)

moddy x

New Member
Feb 25, 2019
1
0
Habari!
Naomba kuuliza fursa za ajira kwa upande wa sayansi za komputa katika ngazi ya diploma, je ina soko?
Je inauhitaji katika makampuni, pia katika kuanzisha project zako binafsi kama vile kutengeneza apps na vitu vingne!
Na chuo kipi kinatoa hiyo kozi vizuri?
Asanteni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom