Fursa ya mahusiano.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Habari zenu wana MMU.?
Nakuja mbele yenu kuleta ombi toka kwa rafiki zangu 10 toka Russia,ambao watakuja mwanzoni mwa mwaka ujao 2014 kwa ziara ya mwezi mmoja nchini Tanzania/Zanzibar.
Wameniomba nikiwa kama Organizer wa safari yao pia ni mwenyeji wao hapa Tz,kuwa niwatafutie warembo 10(MABINTI) wenye sifa zifuatazo:

-Wawe wanajua kuongea/kusoma kiingereza ikiwezekana na Kirusi (Russia)
-Elimu yeyote Std 7 hadi PhD
-Wawe na umri kuanzia miaka 18-28
-Wawe hawajawahi kuzaa
-Wawe wenye rangi asili (wasiotumia mkorogo)
-Wawe wenye maumbile asili sio Mchina
-Wawe wanaopenda kusafiri sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi
-Wawe na imani yeyote ya dini

LENGO:
Kuanzisha uhusiano na ikiwezekana kuwa mke na mme in future.

SIFA ZA HAO RUSSIANS:

-Wote wana umri kati ya miaka 25-38
-Wote wanafanya kazi binafsi na kuajiriwa
-Wote hawaamini kama kuna Mungu
-Wote wanakunywa pombe tena kali Spirits
-Wote wanapenda kusafiri "adventures trip"
-Wote hawajaoa ila wana girl friends

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:

- Uwe tayari kupima HIV/AIDS mara baada ya kuonana na hao jamaa
-Tuma CV yako kwangu namaanisha ni PM
-Mwisho wa kutuma maombi ni 25/12/2013

KUMBUKA NAFASI NI KUMI TU,NA USITUME MAOMBI IKIWA HUNA SIFA TAJWA HAPO JUU,AU HAUPO SERIOUS.

Naomba kuwakilisha hoja..!
 

huu mchanyanto haueleweki
 
Hivi kumbe ni dili sana siku hz kuwa mke/mume wa mzungu?Inasikitisha sana kabisa hii hali
 
Wamenituma mimi kama Organizer wao wa hiyo safari yao ya mwezi mzima nchini Tz/Zanzibar,walikuwa na girlfriends zao ila soon contracts "mikataba" itakuwa imekwishwa that's why wana search new serious relationship,naomba nieleweke hivyo na kiroho safi tu.
 
Hivi kumbe ni dili sana siku hz kuwa mke/mume wa mzungu?Inasikitisha sana kabisa hii hali
Huu uzi unalenga wenye kuhitaji,kama uhitaji potezea,mbona wabongo kibao wanakuja hapa MMU kutafuta watu wa kuanza nao uhusiano..?? Kama wewe hupendi wenzake wanapenda,ndio hulka ya binadamu hiyo..!
 
tanzania yatajwa biashara ya binadam duniani-Mwananchi.
 
Kuna human trafficking kubwa sana ktk dunia hii hasa kutoka nchi zetu za dunia ya tatu na watu wakisia ulaya/marekani masikio yanawasimama mwisho wa siku baadhi yao wanaishia utumwa wa kingono
 
Mbona dili zuri kabisa? Ngoja nikawape mchongo madada zetu wa pale Kona bar Sinza wachangamkie wa Russia hawa
 
mkuu unambinu kali za kuwanasa!!!
 
na mikataba ikisha watawatema dada zetu tena huko huko . je hawatakuwa changu huko ughaibuni?.
i suspect it might be a renovated new slave trade
 
Maisha maishani!!!!!!!! Kaazi kwelikweli!

Ila kama wasemavyo wahenga YOU HAVENT SEEN ANYTHING TILL YOU SEE THE ELEPHANT FLY!!!!!!! Ndo tunakoelekea huko!

Chezeya mambo za Здравствуйте! Привет! Рада тебя видеть!Lazima pachimbike!
 
Zanzibar-Exotic Tourism----ila ujue hii ni dhambi.....na warusi wanavyojua kugegeda wakishakunywa vitu vikali.....woyoyoyoyo......
 
ili nini? na ww hujui unachokifanya.....achana na hiyo biashara haramuuu....................
 
He he he he, hii plastik sajare imeninyima fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…