Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
- Thread starter
-
- #161
Mkuu nauza nguo za watoto minadani, hasa ya mkoa wa morogoro vipi hizo cadeti au hayo mashati naweza kupata wateja huku?
weng mno wana helaa had migodini wamejaaIla wanyarwanda wamejaaje Kahana wananunua mchele
weng mno wana helaa had migodini wamejaaIla wanyarwanda wamejaaje Kahana wananunua mchele
Ila Mane niambie basi uko sehemu gani ndugu asee maneno yako yanatamanishano wangu!!weng mno wana helaa had migodini wamejaa
Ila Mane niambie basi uko sehemu gani ndugu asee maneno yako yanatamanishano wangu!!
Hii fursa ya viatu vinapatikana wapi kwa bei cheapmhhh!
nmetabasamu baada ya hii text yako.....yani umetupa matumaini wapambanaji shukran sana mkuu...na iwe hivyo aaamyn..Ukishindwa kule jaribu Bujumbura ila mchele uchukulie Mpanda.
Jaribuni na viazi, vitunguu na ndizi kule Lusaka ni bonge la dili.
Kidogokidogo jaribuni kuvuka mipaka na Mwenyezimungu atajaalia Inshallah.
Mkuu nipo Dar naitafuta milioni 20 nikahamishie majeshi yangu jumla jumla, asee hapo kuna mzunguko mkubwa wa pesa ni balaa, watu wanakula bata usiseme. Ukiwaona wamekaa kiboya boya tu yaani washambawashamba lakini mifukoni wamesheeni........Napamiss sana Chillaz, old Trafford, 2 nite...............Njoo tuanzie kahama..kitu cha trinity..! simple
Mkuu nipo Dar naitafuta milioni 20 nikahamishie majeshi yangu jumla jumla, asee hapo kuna mzunguko mkubwa wa pesa ni balaa, watu wanakula bata usiseme. Ukiwaona wamekaa kiboya boya tu yaani washambawashamba lakini mifukoni wamesheeni........Napamiss sana Chillaz, old Trafford, 2 nite...............
Umeona eeh.......Ahahahah Kahama raha sana. Kuna sehemu panaitwa Phantom jamaa jioni wanauza mishikaki na michemsho flani hivi. Ni just barabarani tuu ila huwa nawashuhudia wale maboya wakipiga hela naishia kukaa kimya tu ......Hahaha wachafu wachafuu..haha ila wanazijua bata balaa..mie mwenyew nimeamua.maisha yangu ntaishi kahama kwakwel
Umeona eeh.......Ahahahah Kahama raha sana. Kuna sehemu panaitwa Phantom jamaa jioni wanauza mishikaki na michemsho flani hivi. Ni just barabarani tuu ila huwa nawashuhudia wale maboya wakipiga hela naishia kukaa kimya tu ......
Yaani katika maisha yangu sijawahi kuona mtu hasa mwanamke anayetoa michongo, hamasa na info ili kuwasaidia watu wajikwamue na umaskini kama huyu dada angu manengelo
Mungu akujaalie na akupe kila hitajio la moyo wako, akufanyie wepesi penye uzito.
Siku nikipata kamtaji hata cha 1m au 2m nitakutafuta dada angu. Ombi langu kwako unipokee na unioneshe njia ili nami nipunguze ukali wa maisha
Hii fursa ya viatu vinapatikana wapi kwa bei cheap
Nimesoma page. Zote kwa umakini sana fursa zipo Na pesa ipo hapa hapa kauli mbiu umaskini eka mbali hakuna aliezaliwa Na urajiri hivyo pambana
Duuh Manengelo unatufanya wenzio tusilale pls aisee safari yako ni ya kibabe kinoma noma ila poa yote ni sawa acha tupambane mpaka tone la mwisho Mane utakuwa mwenyeji wetu tukija uko!!Kuna kitu ki1 tunamis tu watz..tunasubiri kupata mitaji...mie nimejipambanua baada ya kusoma sana vitabu..nikagundua ukiulisha ubongo wako kila kitu unachotaka inawezekana kufanya kila kitu unachotaka..
Mie nilipokuja huku nililetwa tu na dingilai..tena ile kwa dharau anakuambia nxt wk naenda geita kuangalia miradi..kama uko interested twende..kwanza mwanzon alisema nijigharamie[emoji23][emoji23][emoji119]..pigana wee (maana zilikua tar butu masuala ya kusubiriaga mishahara ya waume[emoji57](sikupata nauli..nikamwambia mama ongea na baba anigharamie nauli tu mie njian sitakula..akasema sawa..
Kweli dingi akakubali..nakumbuka ile safari kutoka moro had kahama nilikua karanga tu[emoji23][emoji23]..tena nilichukua kwa dogo nikamwambia kachukue kwa baba hela[emoji57][emoji57]..! kahama akanunua robo kuku imagine tuko mtu 3..nikawambia baba haitoshi hii jaman aliniwakiaaa[emoji23][emoji23]..nilijiskia unyonge mno..maana napenda nyama balaa...! tulipofika machimbon nikaona hii dunia ni nyingine mbona..nikaanza kuona siwez kbs hata kuish siku 1 machimboni..baba kwa kuninyoosha siku ya 1 tu akasema manengelo utalala huku sasa uone maisha[emoji24][emoji24][emoji24]..imagine gest ni za bati...yaan kila kitu ni cha ajabu kwangu..
nakumbuka baba mdg aliniambia kitu ki1..shukuru Mungu kuja huku..nakuona ww ni smart..ukiwa smart huku utaondoka na mtaji unaotaka ww..first of all yakubali mazingira...ukishayakubal mazingira tu umewin...ilinichukua siku km 14 kucope..kumbuka hapo baba anakuja muda anaotaka yy toka mjini anapolala..anaweza kuja saa6 sijala kitu[emoji58][emoji58][emoji58]!nanuna balaa..naishia kulia shida kwa mama balaa hahaha...
Kifupi mimi ndo nilisema baba mbn km huku fursa zipo,akasema km zipo baki...nikabaki...!nikaanza fatilia mishe za huku..hapo.aliniachia 50000/=..nikapata washkaji kidg...!nikawa nasimamia miradi yake...
baada ya 2mths nikaomba eneo nami nianze mambo yangu..hakuuliza umepata wap hela..nilianza kibabe /kimaskin saaana...
hapo nipo na bros zangu ila ni vyapombe balaa coz wana hela..! hawakuamini pia..
Naamini had naandika hii comments mie ndo naongoza kwa haka kafamily ketu maana huku ukoo wa baba umejaa hapa...! nilichungulia fursa mno sasa hv baba ndo ananisisitiza niwe nakaa na bros nawasaidia wafanye mambo ya msingi...then anaishia kunilaumu pia..why ww huwasaiidii kaka zako..hahaha ... soon kila week nitakuwa na mapato ya kila siku yasiozidi 200k!shenzy typ[emoji21]
Kunafursa niliiona nikawa na hela nusu ya kufanya...sikujiuliza.. nikaanza kwa hyo hyo nusu..ile nusu ilobaki nikamwambia dingi..naomba uikamilishe hii project ambayo siku ikiisha mie ntakuwa napata 100k then kila siku nitakutumia 100k kwa siku 25 akakubali..so akanitumia hela..baada ya masaa24 nikakabidhiwa projrct yangu..!
moral of the stry..usisubiri kuanza na mtaji mkuubwa ..!anza na ulicho nacho! njia huwa nyepesi mno mno!ingawa changamoto bado nazipata pia...nazikabili ingawa saa zingine nataman kulia[emoji58][emoji58]!
Kuna sehemu uliandika usitake kuanza Na kikubwa anza naichoicho kidogo umeongea point Na kwenye life usikubali kuwa dhaifu pambana pambana next time unatoboa Na ili utoboe zaidi Lazima marafiki zako wawe wale wenye mishe zaukweli ata ukikanao wanaongeaga kitu point hivyo unakua unaziona fursa nyingi kutoka kwao Na Apo ungesema ujilegeze namini ndugu zako wengekuzarau hadi sasa maana unakua hunakitu unakua kama gunia la viazi mzigoKuna kitu ki1 tunamis tu watz..tunasubiri kupata mitaji...mie nimejipambanua baada ya kusoma sana vitabu..nikagundua ukiulisha ubongo wako kila kitu unachotaka inawezekana kufanya kila kitu unachotaka..
Mie nilipokuja huku nililetwa tu na dingilai..tena ile kwa dharau anakuambia nxt wk naenda geita kuangalia miradi..kama uko interested twende..kwanza mwanzon alisema nijigharamie[emoji23][emoji23][emoji119]..pigana wee (maana zilikua tar butu masuala ya kusubiriaga mishahara ya waume[emoji57](sikupata nauli..nikamwambia mama ongea na baba anigharamie nauli tu mie njian sitakula..akasema sawa..
Kweli dingi akakubali..nakumbuka ile safari kutoka moro had kahama nilikua karanga tu[emoji23][emoji23]..tena nilichukua kwa dogo nikamwambia kachukue kwa baba hela[emoji57][emoji57]..! kahama akanunua robo kuku imagine tuko mtu 3..nikawambia baba haitoshi hii jaman aliniwakiaaa[emoji23][emoji23]..nilijiskia unyonge mno..maana napenda nyama balaa...! tulipofika machimbon nikaona hii dunia ni nyingine mbona..nikaanza kuona siwez kbs hata kuish siku 1 machimboni..baba kwa kuninyoosha siku ya 1 tu akasema manengelo utalala huku sasa uone maisha[emoji24][emoji24][emoji24]..imagine gest ni za bati...yaan kila kitu ni cha ajabu kwangu..
nakumbuka baba mdg aliniambia kitu ki1..shukuru Mungu kuja huku..nakuona ww ni smart..ukiwa smart huku utaondoka na mtaji unaotaka ww..first of all yakubali mazingira...ukishayakubal mazingira tu umewin...ilinichukua siku km 14 kucope..kumbuka hapo baba anakuja muda anaotaka yy toka mjini anapolala..anaweza kuja saa6 sijala kitu[emoji58][emoji58][emoji58]!nanuna balaa..naishia kulia shida kwa mama balaa hahaha...
Kifupi mimi ndo nilisema baba mbn km huku fursa zipo,akasema km zipo baki...nikabaki...!nikaanza fatilia mishe za huku..hapo.aliniachia 50000/=..nikapata washkaji kidg...!nikawa nasimamia miradi yake...
baada ya 2mths nikaomba eneo nami nianze mambo yangu..hakuuliza umepata wap hela..nilianza kibabe /kimaskin saaana...
hapo nipo na bros zangu ila ni vyapombe balaa coz wana hela..! hawakuamini pia..
Naamini had naandika hii comments mie ndo naongoza kwa haka kafamily ketu maana huku ukoo wa baba umejaa hapa...! nilichungulia fursa mno sasa hv baba ndo ananisisitiza niwe nakaa na bros nawasaidia wafanye mambo ya msingi...then anaishia kunilaumu pia..why ww huwasaiidii kaka zako..hahaha ... soon kila week nitakuwa na mapato ya kila siku yasiozidi 200k!shenzy typ[emoji21]
Kunafursa niliiona nikawa na hela nusu ya kufanya...sikujiuliza.. nikaanza kwa hyo hyo nusu..ile nusu ilobaki nikamwambia dingi..naomba uikamilishe hii project ambayo siku ikiisha mie ntakuwa napata 100k then kila siku nitakutumia 100k kwa siku 25 akakubali..so akanitumia hela..baada ya masaa24 nikakabidhiwa projrct yangu..!
moral of the stry..usisubiri kuanza na mtaji mkuubwa ..!anza na ulicho nacho! njia huwa nyepesi mno mno!ingawa changamoto bado nazipata pia...nazikabili ingawa saa zingine nataman kulia[emoji58][emoji58]!
Kuna sehemu uliandika usitake kuanza Na kikubwa anza naichoicho kidogo umeongea point Na kwenye life usikubali kuwa dhaifu pambana pambana next time unatoboa Na ili utoboe zaidi Lazima marafiki zako wawe wale wenye mishe zaukweli ata ukikanao wanaongeaga kitu point hivyo unakua unaziona fursa nyingi kutoka kwao Na Apo ungesema ujilegeze namini ndugu zako wengekuzarau hadi sasa maana unakua hunakitu unakua kama gunia la viazi mzigo