Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,816
- 33,488
Hata kusubiri kuletewa infor ni uvuvi. Kwahiyo watanzania ni wavivu.
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Huu uwakala unaosema unalaza laki kwa siku ni huu wa miamala ya pesa au ??Kama huna majukumu ya ndoa njoo uize hata maji...huku maji ya kunywa yanauzika..alafu nimegundua..wanaouza ya baridi wakuhesabu..nashanhaa huku hakuna bishara ya kugandisha barafu..wanachofanya wanayaweka tu kwa friji anakuja pack asbh kwa deli zake kadhaa... na mostly wanauza ya moto pia kama unauweza wakala pia hii habari ya kulaza laki 1 kwa siku as faida kawaida mnoooo!!
Tunasubiri picha mama...Ngoja nikupigie kitu picha hapa..subiri dk kadhaa
Huu uwakala unaosema unalaza laki kwa siku ni huu wa miamala ya pesa au ??
Tunasubiri picha mama...
Habari ndugu wanajamii forum!
Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka[emoji5]
Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...
nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..
Jamani kuna watu wanapiga helaaaa[emoji848][emoji848]..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]! wenye mitaji "yenyu"
Kocha Mkuu
@BILGER
Mane mimi ninaweka mambo sasa nataka kuja huko kwenye madini
kuna kipindi niliambiwa Ifakara kuna kampuni inauza mchele bei rahisi sana nilikuwa na oda ya kusupply kwenye shule nilipokwenda ili kupata uhakika nikaenda mpaka kwenye hiyo kampuni wao ni wawekezaji wanalima mchele wakaniambia kwa sasa siwezi kupata mchele wana oda kubwa sana Rwanda hivyo nakubaliana na maneno yako
Hahaha mtukane kidogo nawewe ebo!Acha uchoyo wa mawazo we mama,nia yangu ilikuwa kujifunza niondoke na madini hapa afuuu unaleta blahblah kafie mbele basi.
Ukipata picha usisite kutuma .....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kuna matsht fulan yanauzwa kkoo yanamwagwa chini...huku wasukuma wanapgwa..haha wanauziwa 13/12..nilitaka nomwambie ayakusanye aje apge hela
Napenda Hustling Mind kama hizi .. Tafuta hela kwa kila namna as longer as huvunji sheria za nchi ... Tupige kazi wajameni.
๐๐๐haya...na trauza naona karibu kila siki usk unaona mtu ananunua anavaa hapo hapo anasepa..zile kadetiUkipata picha usisite kutuma .....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuh Manengelo mbona hakuna mjuaji umu wote tunachotafuta ni kupata t\rifa na maarifa mapya ndugu yangu pls acha izo wangu kama tumekwazana kule juu hayo yaishe wangu nahitaji sana hizi taarifa zako na naamini kabisa kupitia wewe tutafaidika na mengi na hakika wewe ni mtu uko wazi mana naona kuna baadhi ya mambo ambayo unayatoa ni ya kweli mfano mambo ya mpesa/ uwakala na mengine mengi pls izi ni changamoto tu pls tuwie radhi cc Manengelo!!Plus ujuaji kibao.ww soma comments utaona
Situkani,napita humu kupata mawili matatu na kupingwa au kutopata jibu nilitakalo ni kawaida tu mkuu.Hahaha mtukane kidogo nawewe ebo!
Duuh Manengelo mbona hakuna mjuaji umu wote tunachotafuta ni kupata t\rifa na maarifa mapya ndugu yangu pls acha izo wangu kama tumekwazana kule juu hayo yaishe wangu nahitaji sana hizi taarifa zako na naamini kabisa kupitia wewe tutafaidika na mengi na hakika wewe ni mtu uko wazi mana naona kuna baadhi ya mambo ambayo unayatoa ni ya kweli mfano mambo ya mpesa/ uwakala na mengine mengi pls izi ni changamoto tu pls tuwie radhi cc Manengelo!!