Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,959
Reaction score
70,694
Habari ndugu wanajamii forum!

Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka☺

Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...

nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..

Jamani kuna watu wanapiga helaaaa🤔🤔..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee💃💃💃💃! wenye mitaji "yenyu"

Kocha Mkuu
@BILGER
 
Na ishu yabmtaji ungeweza kudadavua kwa njia m badala like mzigo kiasi gan wanapeleka..kama ni scania kadhaa au otherwise.Then we una calculate roughly

Hawajata kuweka wazi..huenda wananihofia pia...ila nadhan ni mtaji mnene kias..wanapelela tons nyingi wanadai (hawajasema zaidi) ngoja nijidangishe wafunguke😂😂🙌
 
Habari ndugu wanajamii forum!

Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka☺

Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...

nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..

Jamani kuna watu wanapiga helaaaa🤔🤔..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee💃💃💃💃! wenye mitaji "yenyu"

Kocha Mkuu
@BILGER
Ha ha haa leo ndio unaamka!!?
ongeza sifuri hapo....
mchele unauzwa kwa waharabu...
the only place you can fetch a good price
lakini lazima uwe na export license
na mtaji wa kusafirisha tones kwenye meli
amkeni mtaelewa tu...
 
Na sio mchele tu hata ngozi ya ng'ombe...
soko lake lipo naigeria ni biashara kubwa sana..mbali na matumuzi mengine wenzetu wanigeria ngozi wanakula ni chakula....
lkn mavijana ya humu ukiyapa peyable business deal at a point of time...wanakuona ng'ombe tu.... ndio maana huwa naachana nao.....ukiendesha range wanakuona mchawi wakati ni vitu vya kawaida....!!?
 
🙌🙌🙌 Uliwah niambia hii nakumbuka..lakini ilikua nchi za Arabs...!hebu hii lesen ya EA inapatikanaje
 
Na sio mchele tu hata ngozi ya ng'ombe...
soko lake lipo naigeria ni biashara kubwa sana..mbali na matumuzi mengine wenzetu wanigeria ngozi wanakula ni chakula....
lkn mavijana ya humu ukiyapa peyable business deal at a point of time...wanakuona ng'ombe tu.... ndio maana huwa naachana nao.....ukiendesha range wanakuona mchawi wakati ni vitu vya kawaida....!!?

Leo mara ya 2 nakuomba urafiki ujue😂😂🙌🙌...nauchukia umaskini...hahhaa...nataman maisha ya unaenda popote unaagiza huduma hakuna kuuliza bei...!😂😂...!

yaan ww unaenda kempski unàagiza unachotaka mwishon unaomba bill unalipa.unasepa 😑😑
 
Habari ndugu wanajamii forum!

Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka

Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...

nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..

Jamani kuna watu wanapiga helaaaa..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee! wenye mitaji "yenyu"

Kocha Mkuu
@BILGER
Daah
 
Back
Top Bottom