Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Hili jambo ni kweli hakuna siasaDuh.. imekaa vizuri hii kama ni kweli mkuu
Tatizo mpaka mdanganywe na madalali ndiyo muaminiSawa sawa.
Mahitaji ya soko ni tani 1000000 uwezo wa nchi ni tani 300,000 kingine tanzania msimu wa korosho ni wa pekee wakati huku zipo wazalishaji wakubwa ivory coast brazil wanakuwa bado fursa bado ipo saana na kama tukawekeza kuwa na viwanda, faida ita triple zaidi ya bei ya mibadani na hili ndiyo lengo.Korosho nazo zitakuja kuwa kama ufuta, Bei itashuka Sanaa maana watu wameikimbilia
Barua unayoandika na uaminifu wako Lindi mji mdogo sana watu wote tunajuana ukiongopa utaulizwa vitu ushindwe kujibu.Watajuaje kama Mimi mkazi wa Lindi?
swali la msingi sana hili, mkuu majibu tafadhali.Nashukukuru kwa kuleta mnyumbuliko mzuri pamoja na abcd kuhusu kilimo cha korosho Lndi.
je, kwa mfano umelima heka moja, na kilimo kikakubali unaweza vuna wastani wa kiasi gani ? bei ikoje ?
je mpaka nifike kipindi cha mavuno kwa wastani wa heka moja ninaweza kutumia kiasi gani cha hela ? hapa namaanisha gharama za kukodi,kusafisha shamba, mbolea, palizi, dawa n.k
nashukukuru kwa kuleta mnyumbuliko mzuri pamoja na abcd kuhusu kilimo cha korosho Lindi.
je, kwa mfano umelima heka moja, na kilimo kikakubali unaweza vuna wastani wa kiasi gani ? bei ikoje?
je mpaka nifike kipindi cha mavuno kwa wastani wa heka moja ninaweza kutumia kiasi gani cha hela ? hapa namaanisha gharama za kukodi, kusafisha shamba, mbolea, palizi, dawa n.k
Ukianza kupanga kwa kuweka fault kwanza huwezi fika popote. Kama mwanza na Dar hamjazijaza na ni maeneo madogo sana unafikiri Lindi itajaa lini.Asee, ni jambo zuri. Sasa sijui endapo manispaa ikikua mwenye shamba ataruhusiwa kuuza kama viwanja?