Fursa ya kibiashara nje ya nchi

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
841
1,807
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavosema ninafursa kuu mbili kutoka kwa International connection na ningeomba mwenyewe kujua au aliyetayari tufanye hizi biashara.

1) INAITAJIKA GOLD 100KG KUPELEKA ISRAEL KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE NA KUWE NA UHAKIKA YA KUPATIKANA HIZO KG BILA USUMBUFU

NOTE:MUHUSIKA ANATAKA MZIGO ANGALAU 2KG AU 3KG KAMA SAMPLE AENDE NAZO MUUZAJI MPAKA ISRAEL OFFER YA MNUNUZI NI 33,000 USD PER KG FROM THERE BIASHARA ILIYOBAKI IMALIZIKE, TRANSPORTATION CHARGES AND HOSPITALITY TO BE DISCUSSED.

2) INAITAJIKA PAMBA(COTTON) KILA MWEZI TANI 5 LOCATION SINGAPORE,LETA OFFER YAKO NA MASWALI MENGINE YATAJIBIWA TUKIWA NA UHAKIKA NA BIASHARA.

NOTE:CLIENT ATALIPA 100% LC.

:-KARIBUNI NA TUWE SERIOUS KWENYE HILI. VIJANA TUJENGE TAIFA.
 
Kama ni mnunuzi gold ina vipimo ataje percentage anazochukua watu waingie field na yeye mnunuzi afate mzigo akiwa na pesa akihitaji sample huwa anatumiwa gram kadhaa tuu sio ubebe zigo akaone sample wakati popote gold inauzwa vizuri tuu...
 
Back
Top Bottom