Kakondele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 225
- 193
Fursa ya biashara kwa mtu anayemiliki basi kubwa au Tata,kuna njia ambazo zinauhitaji wa magari ya abiria kama sumbawanga_kigoma(500km),mwanza_tabora_sumbawanga(953km) na tabora_Mpanda_Sumbawanga(596Km) Njia hizi zina barabara mchanganyiko lami na vumbi na kwa asilimia kubwa zipo kwenye matengenezo abiria kwa ukanda huu ni wengi lakini changamoto kubwa ni usafiri.
Mfano Swanga_Mwanza hakuna gari la moja kwa moja hapo ni safari ya kuunga unga mpaka ukafike Mwanza au Tabora vivyo hivyo kutoka Kigoma kwenda Swanga kuna kampuni moja tu ya usafirishaji ambayo nayo huduma zake zinasua sua sababu ya ubovu wa magari.
Kwa atakae kuwa tayari kwa biashara hii tuwasiliane kupitia 0765062114/whatsap 0759399805 kwa maelezo zaidi juu ya nauli pamoja na hesabu nzima
Sent using Jamii Forums mobile app