Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,356
Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na chumvi.
Ukishanunua wale dagaa unawakaanga pale unawaweka kwenye ndoo na kupanda nao mwendo kasi. Ukiuza wale dangaa kwa kipimo cha kibakuli utapata faida. Kabla sijaanza kama Kuna mtu yuko tayari aanze.