Fursa Ubia: Kilimo Parachichi Hass Ekari 10 Njombe
High risk,
High gain,
Wenye uthubutu ndio wenye utajiri!
Yeah, but investor anatakiwa kutoa fedha kulingana na makubaliano ya mkataba, pia project manager anamajukumu yake ambapo asipo yatekeleza anawajibishwa kwa m
 
Mimi ninatoa nguvu na ujuzi ambao ninao kwaajili ya mradi ili kuwe na productivity
Kuna watu wanahoji kuwa mboa akitoa 100% ya mtaji wewe vipi? Mimi nadhani hata uwekezaji wako wa ujuzi, nguvu na muda na mtaji tosha. Ninachokushauri tu usiwe na tamaa. Yes, mnaweza kuandikishiana kila kitu lakini uaminifu huwa moyoni zaidi kuliko kwenye makaratasi. Waafrika wengi huwa tunarudi nyuma kwa sababu ya tamaa. Vinginevyo mradi wako ni mradi mzuri kabisa na hata proposal yako siyo mbaya.
 
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)

Wakuu, habari za wakati huu.

Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha parachichi za Hass kwenye ekari 10 mkoani Njombe au Iringa.

Mchanganuo kwa Ufupi:
• Nafasi ya Upandaji: Mita 8 kwa mita 7 (Miche 80 kwa kila ekari, jumla miche 800 shambani). Huu ni umbali wa kitaalamu kuzuia miti kusongana.
• Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
• Ofa ya Ubia: Ili kumlinda mwekezaji arudishe mtaji wake haraka, atapata 60% ya faida halisi ndani ya miaka 5 ya mwanzo ya mavuno. Kuanzia mwaka wa 6, mradi utakuwa wa 50/50 maisha yote.
• Uzalishaji: Mwaka wa 3 makadirio ni Tsh ~48M na kuanzia mwaka wa 4 shamba likikomaa ni Tsh 120M+ kwa mwaka. Parachichi huzaa kwa miaka 30 hadi 50.
Mimi nitasimamia mradi mwanzo hadi mwisho nikiwa shambani. Nina andiko kamili la mradi (Detailed PDF Proposal) na rasimu ya mkataba (MOU) tayari.

🤝 Kama una nia thabiti ya kuwekeza, tuwasiliane DM kwa ajili ya kubadilishana namba na nyaraka.
Huu ni uwekezaji wa kinyonyaji! Hizo nguvu na ujuzi wako unaojivunia havina ulazima wowote ule. Mtaji ndiyo kila kitu. Weka na wewe mzigo mezani ili kuwe na usawa.

Kinyume na hapo kubali kuwa msimamizi.
 
No offense but this is one of the most stupid proposals i have ever come across
Ooh!!!
Kuna watu wanahoji kuwa mboa akitoa 100% ya mtaji wewe vipi? Mimi nadhani hata uwekezaji wako wa ujuzi, nguvu na muda na mtaji tosha. Ninachokushauri tu usiwe na tamaa. Yes, mnaweza kuandikishiana kila kitu lakini uaminifu huwa moyoni zaidi kuliko kwenye makaratasi. Waafrika wengi huwa tunarudi nyuma kwa sababu ya tamaa. Vinginevyo mradi wako ni mradi mzuri kabisa na hata proposal yako siyo mbaya.
Yes exactly 💯
Niuzie hizo eko 10
 
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)

Wakuu, habari za wakati huu.

Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha parachichi za Hass kwenye ekari 10 mkoani Njombe au Iringa.

Mchanganuo kwa Ufupi:
• Nafasi ya Upandaji: Mita 8 kwa mita 7 (Miche 80 kwa kila ekari, jumla miche 800 shambani). Huu ni umbali wa kitaalamu kuzuia miti kusongana.
• Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
• Ofa ya Ubia: Ili kumlinda mwekezaji arudishe mtaji wake haraka, atapata 60% ya faida halisi ndani ya miaka 5 ya mwanzo ya mavuno. Kuanzia mwaka wa 6, mradi utakuwa wa 50/50 maisha yote.
• Uzalishaji: Mwaka wa 3 makadirio ni Tsh ~48M na kuanzia mwaka wa 4 shamba likikomaa ni Tsh 120M+ kwa mwaka. Parachichi huzaa kwa miaka 30 hadi 50.
Mimi nitasimamia mradi mwanzo hadi mwisho nikiwa shambani. Nina andiko kamili la mradi (Detailed PDF Proposal) na rasimu ya mkataba (MOU) tayari.

🤝 Kama una nia thabiti ya kuwekeza, tuwasiliane DM kwa ajili ya kubadilishana namba na nyaraka.

Umejaribu kupeleka proposal yako kitengo cha mikopo kwenye mabenki?

Kuna benki moja mpya (nadhaani inaitwa Coop) nilisikia wanajitangaza kukopesha wakulima
 
Huu ni uwekezaji wa kinyonyaji! Hizo nguvu na ujuzi wako unaojivunia, kwenye kilimo cha havina ulazima wowote ule. Mtaji ndiyo kila kitu. Weka na wewe mzigo mezani ili kuwe na usawa.

Kinyume na hapo kubali kuwa msimamizi.
Nimaoni yako Ila sio kitu kipya icho
 
Umejaribu kupeleka proposal yako kitengo cha mikopo kwenye mabenki?

Kuna benki moja mpya (nadhaani inaitwa Coop) nilisikia wanajitangaza kukopesha wakulima
Namba taarifa zaidi ili nifuatilie
 
Umejaribu kupeleka proposal yako kitengo cha mikopo kwenye mabenki?

Kuna benki moja mpya (nadhaani inaitwa Coop) nilisikia wanajitangaza kukopesha wakulima
Yes, naunga mkono wazo hili maana mtoa mada asichokuwa nacho ni mtaji, halafu anataka umiliki wa shares eti kwa kutoa "ujuzi" pekee. Uwekezaji wowote ule unaouona, jua wamiliki wake wamechangia "mtaji". Utaalam na usimamizi umejaa tele mtaani, ni kuajiri!
So, Ukitaka pesa ya mtu, unatakiwa kushawishi ni kwa nini huyo mtaalam/msimamizi awe wewe na sio mtu mwingine ninayemfahamu na kumwamini?
 
Umejaribu kupeleka proposal yako kitengo cha mikopo kwenye mabenki?

Kuna benki moja mpya (nadhaani inaitwa Coop) nilisikia wanajitangaza kukopesha wakulima
Bank gani? Hizi za kwetu? Watu tunapeleka hati za nyumba, biashara zipo zinaonekana lakini tunazungushwa mikopo mpaka utoe rushwa, mtu apeleke proposal tu apewe 37M? Kwa bank zetu? Maisha
 
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)

Wakuu, habari za wakati huu.

Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha parachichi za Hass kwenye ekari 10 mkoani Njombe au Iringa.

Mchanganuo kwa Ufupi:
• Nafasi ya Upandaji: Mita 8 kwa mita 7 (Miche 80 kwa kila ekari, jumla miche 800 shambani). Huu ni umbali wa kitaalamu kuzuia miti kusongana.
• Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
• Ofa ya Ubia: Ili kumlinda mwekezaji arudishe mtaji wake haraka, atapata 60% ya faida halisi ndani ya miaka 5 ya mwanzo ya mavuno. Kuanzia mwaka wa 6, mradi utakuwa wa 50/50 maisha yote.
• Uzalishaji: Mwaka wa 3 makadirio ni Tsh ~48M na kuanzia mwaka wa 4 shamba likikomaa ni Tsh 120M+ kwa mwaka. Parachichi huzaa kwa miaka 30 hadi 50.
Mimi nitasimamia mradi mwanzo hadi mwisho nikiwa shambani. Nina andiko kamili la mradi (Detailed PDF Proposal) na rasimu ya mkataba (MOU) tayari.

🤝 Kama una nia thabiti ya kuwekeza, tuwasiliane DM kwa ajili ya kubadilishana namba na nyaraka.
🤣🤣🤣🤣 Umejiunga Jana
 
Kwamba Investor atoe mtaji 100% kisha wewe utoe ujuzi na mgawane 60% vs 40% sio kweli.

Mimi nikiwa ndio huyo muwekezeji mwenye kutoa hiyo 100% bora nitafute tu project manager wa kumlipa mshahara niendelee kula hiyo 100% milele.

Siwez kutoa mtaji wote peke yangu halaf baada ya muda tunakua na umiliki sawa. Mimi kupitia hela zangu naweza kupata ujuzi uliokua nao wewe. Lakin wewe kupitia ujuzi tupu kufikisha hizo hela za mtaji ni ngumu
Ji
 
Back
Top Bottom