Fursa mbalimbali kwenye kisiwa cha Comoro

Kwa wale waliowahi kufika Comoro, kuna fursa gani zinapatikana huko?

Bidhaa gani unaweza kutoa Tanzania na kupeleka Comoro au bidhaa gani unaweza kutoa Comoro ukaleta Tanzania na ikakulipa vizuri kwa faida?

Karibuni.

Unatakiwa uende kutembea
 
Back
Top Bottom