ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,211
- 50,942
Serikalini ya Malawi imetangaza Hali ya hatari kutokana na ukame ambao umepelekea njaa kwenye Wilaya nyingi 23 kati ya 28 Nchini humo.
Serikalini imesema kipindi Cha ukame kimefuatia baada ya mfululizo wa majanga ya mvua za El nino zilizoleta maafa na uharibifu mkubwa wa Mali na mashamba msimu uliopita Nchini humo.
View: https://www.instagram.com/p/C471vaBIH_h/?igsh=MXVrOGgwbzE3Z3N5YQ==
My Take
Serikalini msifunge mipaka Ili Wakulima Wetu wauze mahindi Kwa sababu uzalishaji msimu wa mwaka Jana na huu ni mkubwa kiasi kwamba bei za nafaska hasa mahindi zimeporomoka na soko hakuna.
View: https://youtu.be/m6lU08OSgco?si=3VoO49UNb47sr4dF
Mpaka Sasa Zambia, Malawi, Zimbabwe na Ethiopia Wanakabiliwa na njaa Kali.
Tunawapa pole nyingi ila Kufa kufaana.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1775448652447707179?t=O-bcDRxzyOvKq598-ZzVxQ&s=19