Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 471
- 750
Kazi ya mauzo unalipwa kulingana na utendaji wako wakazi, uzur wa hii kaz hubanwi so unaweza ukaifanya huku unafanya mishe zingineMshahala kiasi gani...?
Hii ni fursa inayowatoa vijana wengi hapa mjini ukiifanya kwa ufanisiMshahala kiasi gani...?
dah hii kazi nimewahi kufanya unalipwa kwa mauzo yako siku usipouza halafu umetokea kama kitunda au gombz nauli hapo geresha
Kauli hizi ni za motivation speakers. Zimejaa nadharia sana.Kazi za kitoto hizo; unamiliki smart phone alafu huna hata kuku 10 wa kienyeji?
Kauli hizi ni za motivation speakers. Zimejaa nadharia usana.
duh kama naomba skolaship MIT vileVigezo
Barua ya uthibitisho kutoka serikali ya mtaa
Passport mbili zako
Kopi ya kitambulisho chako
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa kwanza
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa pili
Nb. Ambatanisha namba za simu za wadhamini kweny hizo kopi.
lajin co kwa zantel mkuu mm niepiga kazi hapo miaka 4 wanazngua kwenye kutoa kamishen hao nuksi tu...Tatizo watu wamekalia sana nadharia kuliko uhalisia.
Hii ni kazi kama kazi nyingine. Kuna vijana wamefanikiwa vizur hadi kufikia hatua ya kujenga nyumba ya kwake kwa kazi hii,
Hii kazi ukiifanya kwa ufanisi na moyo wa kujituma pesa utakayopata haina tofaut na take-away ya mwalim anaeanza kazi au hata Mara tatu yake zaidi.
Tuache theory kupata pesa kirahisi tujikite kweny kazi tulijenge taiga
Kuna vijana weng tu sas hiv tunaendesha maisha kupitia ufreelancer.
Tuache lugha kukatishana tamaa
Kuna uongozi Mpya mkuu, mambo yamebadilika sana. Karibu ujionee maajabulajin co kwa zantel mkuu mm niepiga kazi hapo miaka 4 wanazngua kwenye kutoa kamishen hao nuksi tu...
Duh hakuna kazi ngum kama hii ndugu sirudiii aki tenadah hii kazi nimewahi kufanya unalipwa kwa mauzo yako siku usipouza halafu umetokea kama kitunda au gombz nauli hapo geresha
uliwahi kufanya mkuu,me nilifanya asubuhi chai na chapati moja bure,mchana unajitegemea jioni nauli ya kurudi kwenu unajitegemeaDuh hakuna kazi ngum kama hii ndugu sirudiii aki tena