Fursa kwa mdada mmoja

Mimi nataka lkn nikija pm msg zinagoma weka namba zako basi
 
Unafamilia ukimaanisha umeolewa au una mtoto?
Kama ni mtoto unaweza kuja kuishi naye hamna tatizo.
Kufanya kazi na kurudi itakuwa shida kidogo maana kuna kupika dinner sasa sijawaza hivyo.
Kama unampa gari si aende nyumbani kwake?kwa nini alale hapo?au kwa vile ana cheti cha uongozi unataka akuongoze kumtoboa?
 
Wanasema Fasih ni jinsi unavyoitafsir wewe enhee? Bas mie nmekuelewa
Umenikumbusha enzi hizo nasoma, tulikuwa tuna msemo wa 'Fasihi ni hisi, ukijihisi ujumbe umefika'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…