Umesahau kigezo kimoja: Awe tyr kutoa goli...Habari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)
Mshahara utakuwa mzuri.
Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.
sio kweli kama anahitaji kazi hawezi akafanya uhuni pia katika swala la kupika nipo vizuri kwa kuwa wote ni wanaume makosa madogo madogo yanatokeaWanaume wengi si waaminifu.
Pia kwa kazi kama kupika , deki , vyombo hawapo vizuri.
😀😉😉🙂 atamtoboa eti .......Hilo jina lako na mtu unayemtafuta sitamshauri mdogo wangu kuja,afanye kazi asubuhi hadi sa 4 wewe unakuwepo?mmmnh nina wasiwasi utamtoboa,kalete ndugu yako tu.
Mimi naenda kazini SAA 12 sipo ndani.Hilo jina lako na mtu unayemtafuta sitamshauri mdogo wangu kuja,afanye kazi asubuhi hadi sa 4 wewe unakuwepo?mmmnh nina wasiwasi utamtoboa,kalete ndugu yako tu.
Mimi ninahitaji kazi hiyo niliwahi jifunza gari japo sina uzoefu pia kazi hiyo ni ya kulala au kwenda na kurudi maana mimi nina familia kama kwenda na kurudi na ikiwa utaridhia kunipa kazi naombaHabari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)
Mshahara utakuwa mzuri.
Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.
Mkuu hapana kwa kweli,ungekuwa unaish n wife atleast ingepunguza sintokujalaumu lakini hapana kwa kweli.acha waje ndugu za wengine.Dadaangu mashallah!Fikra za kimaskini.
Huwezi kufanikiwa kama unawaza negative.
Unafamilia ukimaanisha umeolewa au una mtoto?Mimi ninahitaji kazi hiyo niliwahi jifunza gari japo sina uzoefu pia kazi hiyo ni ya kulala au kwenda na kurudi maana mimi nina familia kama kwenda na kurudi na ikiwa utaridhia kunipa kazi naomba
Elimu yangu ni kidato cha nne ila nina cheti cha uongozi
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu Mimi kazi za ndani siwezi ila nipo expert kwenye kusimamia hizo biashara zako ukizingatia Mimi mchaga .
Ila sitaiba ili nifungue biashara yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Pia najua kudrive na Nina lesen kabisa hautasumbuka.
uwe unaniita kwenye fursa kama hziAu unatafuta mke?
Kila la heri mheshimiwa
na kweli apa pameeleweka vzr tena kazi jukwaa la MMUWanasema Fasih ni jinsi unavyoitafsir wewe enhee? Bas mie nmekuelewa