Fursa kipindi hiki cha baridi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,438
IMG-20170512-WA0016.jpg
 
Biashara ingepamba moto wangeandika,
-kuogeshwa na binti wa miaka 18 - 24 ni 20,000
-kuogeshwa na mwanamke wa kichaga ni 3400.
-kuogeshwa na mke wa mtu ni 35,000

Nb. Kama utakayemchagua ni mchaga ana miaka kati ya 18 - 24 na ni mke wa mtu jumlisha gharama zote za hapo juu.
Cheti cha kuzaliwa na cha ndoa utaonyeshwa.
Kuoga mwisho mara mbili
 
Hapo 18-24 ...kila baada ya dk 20 , ntahitaji kuoga tena.
Hahaaaahaaaa
 
Biashara ingepamba moto wangeandika,
-kuogeshwa na binti wa miaka 18 - 24 ni 20,000
-kuogeshwa na mwanamke wa kichaga ni 3400.
-kuogeshwa na mke wa mtu ni 35,000

Nb. Kama utakayemchagua ni mchaga ana miaka kati ya 18 - 24 na ni mke wa mtu jumlisha gharama zote za hapo juu.
Cheti cha kuzaliwa na cha ndoa utaonyeshwa.
Kuoga mwisho mara mbili
....we kiumbe mchokozi sana aisee!
...kuogeshwa na mwanamke wa kichaga 3400???
.dah
 
Hapo kwa mwanamke wa kichaga sijaelewa. Vipi kuhusu mwanamke wa kitanga miaka 18-24?
 
Back
Top Bottom