Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,577
- 5,265
Kwahiyo umeona fulsa mtaipata kwa wakulima lakini kuingia shambani kulima wenyewe mpate hayo magunia 30 heka moja mkaona sio fulsa?Mkuu hii ni huduma kama ilivyo huduma ya uwakili, tatizo sio sisi kukosa mtaji hapana
Mfano wa wakili na swala lenu ni vitu viwili tofauti. Kinachonishangaza Mimi ni kwamba mna mbinu ya kutengeneza ela kupitia kilimo Cha mahindi lakini badala ya kulima wenyewe mpate magunia hayo mengi mnataka kuchukua ela kupitia usimamizi. Au lengo lenu kutoa msaada?
Hamna tofauti na mtu anayewauzia odds wale wazee wa kubet Kisha anatangaza kabisa odds za uhakika.
