Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,738
- 18,613
Rais Putin wa Urusi baada ya Umoja wa Ulaya kumuwekea vikwazo vya uchumi na yeye amejibu mapigo kwa kukataza uagizwaji wa Matunda na mboga katika Umoja wa Ulaya.
Maana yake ni kwamba sasa kuna Mtu lazima azibe hilo Pengo la kupeleka Matunda na Mboga Urusi, sasa hii si fursa kwetu?
Lakini wapi ndugu yangu, viongozi wetu wako Marekani kuomba hela na kuongelea Gas Economy wakati hata kuweka Nguzo ya Umeme na isimamame vizuri bila kuanguka hatuwezi, itakuwa kutengeza liquid Helium!