Fursa hii kwa wadada!!!!

Boyfriend wa 21 ataanza kuambiwa "I wish ungekua na ub.oo kama wa Hu Ah Wei, ujuzi kama wa Xi Ah Om, uwe unacare kama Tien Ki No. Uwahi kurudi nyumbani kama Jih Wei, usinipige kama Mah kon Dah, ustaarabu kama Kih Kwe Tien, na uwe una....

"STOP nimeshindwa mimi"
 
. Alijifanya hataki uwe na simu kumbe hataki kukupa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…